Kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie ya x

Kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie ya x

Mambo ya kizamani sana..ndio maana tatizo la hii kitu linakuwa kubwa na waganga wanaongezeka coz you usually want to compare with those from the movie. Zile siyo nguvu zao wanaongezea..usije ukajikakamua bure ukauishia kutegeshewa drip la glucose..
 
Athari ya kwanza ni kuwa bize na kuangalia movie badala ya kufanya muvi yako live.
Ndo maana kiwango duni sababu ya divided attension labda kama umezoea self sevisi

huduma gani hiyo ya kujihudumia mwenyewe.maeelezo plz.
 
wana JF naomba kuuliza kuna athari gani a kisaikolojia inapatikana kwa kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie za X?

Kumbuka zile move ni recorded pale wanaunganisha vipande vingi sana, sasa usije iga ukazani ile move labda imechezwa kwa dk 30 au zaidi.. wamesha cut na kupest mara kibao huenda move hiyo imerudiwa wiki nzima na wewe unadhani ya siku moja shauri yako. Fanya kivyako..:A S 465:
 
Huwezi piga mluzi na Andazi au Karanga mdomoni.

Hebu muulize anaweza kucheza football wakati akiangalia mechi nyingine! Tehe tehe... mahangaiko ya dunia haya ndio maana mabango kibao.....ya kuongeza...za kiume.
 
wana JF naomba kuuliza kuna athari gani a kisaikolojia inapatikana kwa kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie za X?

Kula vizuri, kunywa maji ya kutosha, fanya mazoezi, hutahitaji tena kuchek videoo
 
ni kwa ajili ya wale ambao wako slow kuamka. Mkuu wengine mpaka waamshwe kwa muvi kama hizo.

Umenikumbusha kuna mzejo mmoja yeye huwa hadi ashtuliwe kabisa yaani unamfanyia timing unamshtua ile ya kitoto uhhhuuuuuuuuu akishtuka kitu ndo inasimama!!! Yaani huyo demu wake anayo kazi!
 
Back
Top Bottom