Athari ya kwanza ni kuwa bize na kuangalia movie badala ya kufanya muvi yako live.
Ndo maana kiwango duni sababu ya divided attension labda kama umezoea self sevisi
wana JF naomba kuuliza kuna athari gani a kisaikolojia inapatikana kwa kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie za X?
Huwezi piga mluzi na Andazi au Karanga mdomoni.
wana JF naomba kuuliza kuna athari gani a kisaikolojia inapatikana kwa kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie za X?
wana JF naomba kuuliza kuna athari gani a kisaikolojia inapatikana kwa kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie za X?
utapata ugonjwa uitwao hippopotamus
ni kwa ajili ya wale ambao wako slow kuamka. Mkuu wengine mpaka waamshwe kwa muvi kama hizo.