Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhhNa Mimi muhanga Ngoja tuwasubir wajuz
Kukojoa mara 21 kwa mwezi kwa Mwanaume kunapunguza athari ya kupata Kansa ya Tezi DumeWaku hamjambo,
Mimi napenda sana kufanya tendo la ndoa na mtu wangu yani kila siku haipunguwe mara 2. Usiku kimoja na asubuhi kimoja. Na enjoy sana nayeye pia ameshazowea. Je kiafya sio mbaya?
Fainal uzeeni kivipi??? Sijakuelewa naomba unielewesheKwa mwanamke hakuna madhara zaidi ya uke kupanuka, ila kwa mwanaume fainali uzeeni
Joint ziko sehem gan mkuuHiyo ina sababisha expansion joint kwenye sehem zenu za siri trust me
Yaan madhara unayapata uzeeni. Maana uchi wa mwanamke ni mchafu kwa mwanaume, majimaji yale huwa sio mazuri kwa afya ya mwanaume, hasa akiwa katoka period ndani ya siku saba hadi10 so wengi huwa tunasex tu bila kuulizaFainal uzeeni kivipi??? Sijakuelewa naomba unieleweshe
hii imethibitishwa kabisa na tafiti kuwa kufanya tendo mara kwa mara kuna kuweka katika nafasi nzuri ya kuepuka kiwembe...kuhusu yule mzee inasemekana yeye alikua na totoz wengi ila haimaanishi alikuwa anatoa huduma stahiki namna hiiHaha mbona yule mzee alisifika kwa kuwapanga kabla hajaingia mjengo mweupe pale lakini baadae tezi zikampitia [emoji2] [emoji2]
Hasa wale wa mikoani na sio kwenye majiji hasa lile la mabasi makubwaYANI HAPO UMEGUSA PENYEWE, NDO MAANA WANAWAKE WA UGANDA WANAPENDA SANA WA TZ
Hihihi hatari sana ............watu wangekuwa wanapipwa nadhani Tz ingeongozi kwa hiyo kitu kama vile imechanjwaga kwa wanawaniHasa wale wa mikoani na sio kwenye majiji hasa lile la mabasi makubwa
Inakuaje uzeeni?Kwa mwanamke hakuna madhara zaidi ya uke kupanuka, ila kwa mwanaume fainali uzeeni