Kufanya tendo la ndoa kila siku kuna madhara kiafya?

Vizuri sana unaondoa uwezekano wa kupatwa na tezi dume utakapo kuwa juu ya 50 miaka yako endelea kwa sana tu
 
Mambo mengine sio yakuuliza utapata maoni ya kidaslam...hiyo ni kawaida sana wala hujazidisha alafu isitoshe unapiga kimoja kimoja kwahyo viwili kwa siku...wenzako uku tunamichepuko pia nayo tunapiga
 
Kama mpo kwenu haina shida ila kama bado mnaishi kwenye nyumba ya kupanga mnasumbua wapangaji wenzenu kwa miguno ya kila siku...
 
Mkuu hakuna jambo linalokosa changamoto, Nikweli ngono ni starehe kubwa sana, ila kuna changamoto zake hasa kwa wale wanao pendelea zaidi, Kwanza kabisa faida ya ngono 1 nimazoezi hasa kw mwanaume, faida ya pili, husaidia kupunguza mawazo,Hasira zile zisizo na maana yeyote nk., Lakini tendo hilo hupunguza sana nguvu za mwili bila kujitambua kwamba umepungua,, pia jinsi umri unavyo zidi kwenda? Huku ukiwa na dhana hio hio yakuendekeza ngono? Basi hakika umri wako na afva havita kwenda sawa ,, Utakongoroka kw haraka sana na kuonekana umzeeeee!! Sana, Mfano mimi, nina miaka 45" lakini sikujaaliwa kuwa mleve wa ngono, Me nimemaliza umri wa balehe sijui mwanamke, hadi nilipo hitim shule ya msingi bado sikujuwa nini maana ya ngono, hivyo kiufupi nimeshiriki tendo nikiwa mtu mkubwa kati ya miaka 28-30, Na sasa mimi nipo fiti Vyuma vimekaza kiukweli yaani.
 
Fainal uzeeni kivipi??? Sijakuelewa naomba unieleweshe
Yaan madhara unayapata uzeeni. Maana uchi wa mwanamke ni mchafu kwa mwanaume, majimaji yale huwa sio mazuri kwa afya ya mwanaume, hasa akiwa katoka period ndani ya siku saba hadi10 so wengi huwa tunasex tu bila kuuliza
 
Haha mbona yule mzee alisifika kwa kuwapanga kabla hajaingia mjengo mweupe pale lakini baadae tezi zikampitia [emoji2] [emoji2]
hii imethibitishwa kabisa na tafiti kuwa kufanya tendo mara kwa mara kuna kuweka katika nafasi nzuri ya kuepuka kiwembe...kuhusu yule mzee inasemekana yeye alikua na totoz wengi ila haimaanishi alikuwa anatoa huduma stahiki namna hii
 
Piga kazi hakuna madhara kijana,lakin zingatia lishe tu.
 
Hasa wale wa mikoani na sio kwenye majiji hasa lile la mabasi makubwa
Hihihi hatari sana ............watu wangekuwa wanapipwa nadhani Tz ingeongozi kwa hiyo kitu kama vile imechanjwaga kwa wanawani
 
The more you use your body party /organ, more it become stronger

Keep it up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…