Kufanya ukaguzi wa gari ndogo huwa shilingi ngapi?

Kufanya ukaguzi wa gari ndogo huwa shilingi ngapi?

ndonger

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
894
Reaction score
1,635
Wakuu.. nataka kukasukuma ka ndinga kangu sasa kwenye kubadili kadi maana nilikafanyaga uber kadi ikawa ya kibiashara so nataka kukarudisha kad ya private.

Nimeambia niwe na document ya inspection kutoka polis.

Sasa nauliza hyo huduma ya inspection ni sh ngap.. ka gar ni ka IST.
 
Back
Top Bottom