Kufanya vibaya kwa Namungo FC inatokana na ratiba ya ligi kuu Tanzania Bara?

Kufanya vibaya kwa Namungo FC inatokana na ratiba ya ligi kuu Tanzania Bara?

Yani unahoji kuhusu kufanya vibaya Kwa Namungo kwenye group stage yanye team kama Raja na Pyramid serous?

Anyway jibu jepesi ni kwamba, stage waliyofika saizi wamekutana na team ngumu kuliko stage zilizopita, Namungo hawana cha kupoteza maana group stage wameingia kama zari tu ila wamepangwa kundi gumu hivo mafaniko waliyopata ya kuingia group stage bado ni makubwa Sana kwao na wanahitaji pongezi

Ukitaka ujue kuwa wanahitaji pongezi jiulize club kubwa kama yanga au Azam zimeingia mara ngapi? Na mara ya mwisho Yanga kuingia group stage ya shirikisho alipangwa na hao pyramid wote tunajua nini kilimkuta, kwahiyo kuhusu ratiba lengo ilikuwa ni kuwapa muda zaidi wa kujiandaa na sio ubovu wa ratiba
Umeandika vyema
 
Mafanikio ya Simba kwako sio amani?Amani ya kweli utaipata kupitia mafanikio ya Yanga na sio anguko la Simba.Hangaika na Yanga yako

Amani hakuna kwani mtaani hakuna utulivu. Simba wamekuwa malimbukeni wa ushindi mwembamba na wa kubahatisha huku wakitunanga wananchi. Sasa kaeni tayari,anguko lenu linakuja
 
Back
Top Bottom