Hahaha!Sawa Sawa
Tuitoe CCM
Lakini hawa CCM walikuwepo enzi zile Tanzania ikiitwa kisiwa cha amani duniani mpaka kuwa kimbilio la usuluhishi mfano Burundi huko Arusha!Sawa Sawa
Tuitoe CCM
Aisee!Wakati Nchi nyingi za Kiafrika zinachukua Uhuru Qatar ilikuwa ni Kijiji cha wazamia lulu.
Na leo ndio matajiri dunianiWakati Nchi nyingi za Kiafrika zinachukua Uhuru Qatar ilikuwa ni Kijiji cha wazamia lulu.