Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na hatia, epuka kuwa na fitina kwa watu

Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na hatia, epuka kuwa na fitina kwa watu

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Wanaume wengi wakifikisha miaka kuanzia 45 hadi 65 (miaka ya husda na fitina) wana anza kua na roho mbaya bila kua na sababu za msingi kisa wenyewe wamekosea maisha nakushindwa kupata ndoto zao za maisha wanaonea vijina wivu wamaendeleo.

Kuna jamaa moja amewinda kijana wetu mpaka anawekeza pesa zake nyingi kijana wetu hasipate promotion ya kua top man wa tasisi Ngo fulani bila hata kujua atafaidika je kwasababu yeye anaelekea kustaafu mwezi kesho katuumiza kijiji chetu kizima tusio kua na hatia, huyu kijana wetu angekua mkurugezi wa hiyo tasisi kuanzia January 2025, kijiji chetu kingepata huduma zote muhumu hususani hospitali ya wakina mama clean water na miradi mingine ingeletwa ila basi tuna muachia Mungu huyu Baba.

Kila unapoumiza mtu kuna watu wengi unao waumiza wasio kua na hatia wanao mtegemea huyu mtu, usiue ndoto za mwenzio career kwasababu sio muamini na unacho amini au chama unacha fuata.

Maneno machafu kashifa fitina yanaweza kuua ndoto za mwenzio huwezi kujua kama huyu mtu kuna siku utamhitaji anza mwaka mpywa ka kuondoa fitina roho mbaya kwa wenzio, huenda kuna siku huyu mtu atakua wa muhimu kwako.

Nawatakia happy 2025 bila kua na Fitna roho mbaya husda.
Screenshot_20250114-085659_WhatsAppBusiness.jpg
 
Mwenye sifa za kuwa mkurugenzi ni yeye pekee au kwa kuwa anatoka kijijini kwenu
 
Mwenye sifa za kuwa mkurugenzi ni yeye pekee au kwa kuwa anatoka kijijini kwenu
Sifa alikua nazo tena zinampita mbali uxoefu anao ila jamaa kwasbabu too yake mbaya mpaka kapanda ndege kuenda Ulaya kufanya lobbying Kijana wetu akose na hiyo nafasi, jamani nyie acheni roho mbaya.
 
Wewe una roho mbaya.. umbeya tu umekujaa.. hakuna ushahidi
 
Wewe una roho mbaya.. umbeya tu umekujaa.. hakuna ushahidi
Mkuu unahitaji ushahidi wanamna gani wakati barua alizo pata kijana zinaeleza kila kitu, wazungu wako open wanakunyima cheo wanakupa na reason kwanini hawajakupa promotion.
 
Back
Top Bottom