Wanaume wengi wakifikisha miaka kuanzia 45 hadi 65 (miaka ya husda na fitina) wana anza kua na roho mbaya bila kua na sababu za msingi kisa wenyewe wamekosea maisha nakushindwa kupata ndoto zao za maisha wanaonea vijina wivu wamaendeleo.
Kuna jamaa moja amewinda kijana wetu mpaka anawekeza pesa zake nyingi kijana wetu hasipate promotion ya kua top man wa tasisi Ngo fulani bila hata kujua atafaidika je kwasababu yeye anaelekea kustaafu mwezi kesho katuumiza kijiji chetu kizima tusio kua na hatia, huyu kijana wetu angekua mkurugezi wa hiyo tasisi kuanzia January 2025, kijiji chetu kingepata huduma zote muhumu hususani hospitali ya wakina mama clean water na miradi mingine ingeletwa ila basi tuna muachia Mungu huyu Baba.
Kila unapoumiza mtu kuna watu wengi unao waumiza wasio kua na hatia wanao mtegemea huyu mtu, usiue ndoto za mwenzio career kwasababu sio muamini na unacho amini au chama unacha fuata.
Maneno machafu kashifa fitina yanaweza kuua ndoto za mwenzio huwezi kujua kama huyu mtu kuna siku utamhitaji anza mwaka mpywa ka kuondoa fitina roho mbaya kwa wenzio, huenda kuna siku huyu mtu atakua wa muhimu kwako.
Nawatakia happy 2025 bila kua na Fitna roho mbaya husda.