CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Habari JF Doctor...
Kama kuna mada ilishawahi kuzungumziwa hapa jukwaa nitaomba Link au hii mada iunganishwe. Itakuwa msaada sana kwa sisi wazazi na wazazi watarajiwa.
Kuna wazazi waliofiwa na watoto wao muda mfupi baada ya kuzaliwa. Inasemekana (sijui kama ni kitaalamu) kuwa mtoto huyo huwa amekunywa maji yaliyokuwa ndani ya nyumba ya uzazi (placenta).
Je hii ni kweli kitaalamu?
Je mzazi anawezaje kuiepuka hii hali isitokee??
Je kuna sababu zingine zaidi zinazipelekea mtoto kufariki muda mfupi baada ya kuzaliwa.
Wasalaam
CL
Waione. MziziMkavu, Riwa, hippocratessocrates, asakuta same, King'asti, gorgeousmimi, Dr.Mo na wengineo. Karibuni kwa michango yenu

Last edited by a moderator: