Hii imetokea Morogoro manispaa, kuna mwalimu anafundisha shule A (sipendi kutaja jina la mwalimu au shule) kama mwajiriwa wa serikali, somo la jiografia, harafu anafundisha muda wa ziada (part time) somo hilo hilo katika shule B, matokeo ya kidato cha 4 shule B watoto wamefaulu vizuri kiasi kwa madaraja A, B na C pia (though matokeo yalikuwa mabaya kwa nchi nzima), shule A ambako mwalimu huyu kaajiriwa na serikali kufundisha somo la jiografia,.kuna daraja C mmoja tuu. Unadhani sababu kuu ni nini? serikali na tume yake haiitaki sababu hii hata kdg. BONGO MOVIES NDANI YA ELIMU, the future is dark, only the politicians will.survive.