Hebu tupe CV ya Bakhresa hili tuchangie vizuri huu uzi wako.wakuu imekuwa jambo la kawaida kama siyo la kusikitisha kuwa kijana amesoma miaka minne lakini anafeli kwa kutojiandaa vizuri na kudanganywa na haka kajimsemo ! Wakuu misemo kama hii mnaichukuliajel? Kwaangu mimi ninaona nikupotoshana tu kielimu mwisho wa siku tunaambulia ZERO 60%
Hebu tupe CV ya Bakhresa hili tuchangie vizuri huu uzi wako.