kufeli form four siyo kufeli maisha !wadau tiririkeni juu ya huu msemo..

kufeli form four siyo kufeli maisha !wadau tiririkeni juu ya huu msemo..

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
wakuu imekuwa jambo la kawaida kama siyo la kusikitisha kuwa kijana amesoma miaka minne lakini anafeli kwa kutojiandaa vizuri na kudanganywa na haka kajimsemo ! Wakuu misemo kama hii mnaichukuliajel? Kwaangu mimi ninaona nikupotoshana tu kielimu mwisho wa siku tunaambulia ZERO 60%
 
kielimu ukifeli form four umefeli maisha yako ya kielimu.Ila maisha ya kidunia hayaitaji division one kuyakabili.
 
wakuu imekuwa jambo la kawaida kama siyo la kusikitisha kuwa kijana amesoma miaka minne lakini anafeli kwa kutojiandaa vizuri na kudanganywa na haka kajimsemo ! Wakuu misemo kama hii mnaichukuliajel? Kwaangu mimi ninaona nikupotoshana tu kielimu mwisho wa siku tunaambulia ZERO 60%
Hebu tupe CV ya Bakhresa hili tuchangie vizuri huu uzi wako.
 
Kusema kweli hako ni kamsemo ka kujifariji tu.Lakini kiufupi ni kuwa kufeli form four kunaweza kunapelekea kufeli maisha na si kwamba kufeli form four ni kufeli maisha.
 
Kuna haka kamsemo huwa tunadanganyana sana form njuka. Hata nisipo elewa form one, nitaelewa form two.
 
Back
Top Bottom