Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 70
zanzibar shule zote za makanisa hazikuguswa
Sijawahi kusikia maasikofu wakisahihisha mtihani pale baraza la mtihani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zanzibar shule zote za makanisa hazikuguswa
Hakuna sababu ya kuwalaumu wanaohusisha matokeo na udini. niwataarifu tu kuwa hii ni phase 2 ya PROJECT 2010. Na kwa sasa inafahamika kama PROJECT 2015. Msijidanganye kuwa itazuiwa na vimakala vya akina Lula. Ni project inayopokea mabilioni ya shilingi kila mwaka. Mnashangaa redio! Mtaziona tv nyingi za project kabla ya 2015. Mnamlaumu Basalehe! Mtawaona na kuwasikia wengi kabla ya 2015. Tegeni masikio na fumbueni macho, but FYI, PROJECT 2015 itashinda.
mimi naamini NECTA NI fumo kristo. shule za mikoa yenye waislam kidogo wanapeleka A, zenye waislam wengi wanaambulia D.
huu ni uchunguzi ninaoendelea kuufanya.
Mkuu unaweza kunipa majina ya shule ulizodai zinafanya vizuri nchi hizo kuliko shule nyingine?Sasa, jambo moja liko wazi sana kwamba shule za Kikatoliki – si shule za majina ya Kikristu tu -karibu sehemu zote duniani zinatoa elimu ya kipekee na bora zaidi.
Hilo ni kweli India, China, Pakistani, Uingereza, Marekani na hata Indonesia
Kama unayosema ni kweli wala hawatashinda, wanaweza kuonekana wemeshinda kwa kuona idadi imekuwa kubwa kuliko upande shindani lakini elimu ikaporomoka zaidi ya hapa. Mfano mzuri ni mahali lawama zinapopelekwa, kwa mtu mwenye akili hawezi kupeleka lawama kwa msahihishaji. Unataka msahihishaji afanye nini, na kama atafanya unavyotaka kuna elimu tena hapo!, si sawa na cheti cha kununua tu!.Hakuna sababu ya kuwalaumu wanaohusisha matokeo na udini. niwataarifu tu kuwa hii ni phase 2 ya PROJECT 2010. Na kwa sasa inafahamika kama PROJECT 2015. Msijidanganye kuwa itazuiwa na vimakala vya akina Lula. Ni project inayopokea mabilioni ya shilingi kila mwaka. Mnashangaa redio! Mtaziona tv nyingi za project kabla ya 2015. Mnamlaumu Basalehe! Mtawaona na kuwasikia wengi kabla ya 2015. Tegeni masikio na fumbueni macho, but FYI, PROJECT 2015 itashinda.
Mmetenga tu bilioni tuchache kwenye hayo mabilioni mengi mnayopokea kwenye hiyo PROJECT ili mjenge shule bora au ni mabilioni ya kuendeshea radio na tv tu?Hakuna sababu ya kuwalaumu wanaohusisha matokeo na udini. niwataarifu tu kuwa hii ni phase 2 ya PROJECT 2010. Na kwa sasa inafahamika kama PROJECT 2015. Msijidanganye kuwa itazuiwa na vimakala vya akina Lula. Ni project inayopokea mabilioni ya shilingi kila mwaka. Mnashangaa redio! Mtaziona tv nyingi za project kabla ya 2015. Mnamlaumu Basalehe! Mtawaona na kuwasikia wengi kabla ya 2015. Tegeni masikio na fumbueni macho, but FYI, PROJECT 2015 itashinda.
Mkuu unaweza kunipa majina ya shule ulizodai zinafanya vizuri nchi hizo kuliko shule nyingine?
Hivi huyu Mcechuru Ndalichako sio mnyarwanda kweli? isijekuwa anatukorogea elimu kwa makusudi!
Umenena mkuu!.Hizi ni hisia za kiwendawazimu kwa mtu unayejiita great thinker. Watanzania wenzangu ni lazima tutambue kwamba bila kuwa na walimu wa kutosha wenye viwango na ubora wa hali ya juu,zana bora za kufundishia,maabara na maktaba watoto wetu wataishia kufeli kila mwaka. Shule chache ambazo mpaka sasa zinafanya vizuri ni kwasababu ya kuwa na walimu wazuri na mazingira bora ya kujisomea! Huyo anayedai shule fulani imefelishwa ajiulize kama shule yenyewe inao hata walimu waliohitimu ama ni makanjanja tu wanaotafuta mkate!