Kufeli kwa biashara zinazoendeshwa na serikali ya TANZATOZO

Kufeli kwa biashara zinazoendeshwa na serikali ya TANZATOZO

Sam Richards

Member
Joined
May 3, 2019
Posts
76
Reaction score
155
TANZANIA ndio nchi pekee duniani inayoendesha miradi yake kimkakati huku waendeshaji waliopewa dhamana hizo ni
1. Viziwi yaan hawasikii
2. Vipofu yaani hawaoni
3. Bubu yaan hawaongei na
4. Njaa yaani wanawekeza tumboni na familia zao...

Mfano wa mradi uliofeli ni huu wa MWENDOKASI. 🤣

Kwa mara ya kwanza nashuhudia biashara inakufa kutokana na..
1. Wingi wa wateja
2. Wingi wa mabus
3. Wingi wa miundombinu

Inaweza kukaa kituoni hata lisaa unasubiria gari na wahusika wapo hapo wamesimamisja zaga tu 🤣
1. Kimara to gerezani
2. Gerezani to mbezi

Yaani kifupi biashara imekufa kutokana na kuzidiwa kwa wateja....sijawahi kuona sehemu yoyote au labda mimi mshamba.

Au nyie wenzangu mnaonaje huu mradi umefanikiwa au imefeli?

20250201_152227.jpg
 
Mambo ya hii nchi yanaenda taratibu sana,lakini huo mradi utakaa sawa tu wakishamaliza michakato ya kuugawa.
 
Back
Top Bottom