Ndugu wana jf,
Nilipangiwa kazi wilaya mpya ya Kakonko shule ya sekondari Kanyonza ambapo wazazi wenye wanafunzi wa kidato cha nne na uongozi wao walikuja shuleni na soda na maji,tulifanya kikao nao huku wakiomba tuwaambie watufanyie nini ili tuhakikishe wanao wanafaulu mtihani hata kupata four potential,kama ikifika hali ya wazazi kupambana kivyao huku ni kushindwa kwa sera za elimu na serikali nzima.