Kufeli kwa form four mwaka jana wazazi wawaangukia waalimu

Kufeli kwa form four mwaka jana wazazi wawaangukia waalimu

Tlehhema

Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
42
Reaction score
3
Ndugu wana jf,

Nilipangiwa kazi wilaya mpya ya Kakonko shule ya sekondari Kanyonza ambapo wazazi wenye wanafunzi wa kidato cha nne na uongozi wao walikuja shuleni na soda na maji,tulifanya kikao nao huku wakiomba tuwaambie watufanyie nini ili tuhakikishe wanao wanafaulu mtihani hata kupata four potential,kama ikifika hali ya wazazi kupambana kivyao huku ni kushindwa kwa sera za elimu na serikali nzima.
 
hao wazazi wanajitambua kuna wengine maeneo mengine nchini wamewasusa watoto wao,hongera kwa hao wazazi
 
Nakumbuka kuna walioungana na serikali kipindi cha mgomo wa walimu,kwa ujumla bado hali si shwari mashuleni kuna watu humu wanaendelea kuwadharau walimu kwa kudai maslahi bora ngoja wasubiri matokeo ya 2013
 
Back
Top Bottom