elias godfrey
Member
- Oct 13, 2012
- 35
- 6
mimi ni kijana niliemaliza form 4 last yr na matokeo yamekuja nimefeli vibaya mno i dont know why naamini wa kulaumiwa ni serikali kwa kutosahiisha vizuri halafu wanasema wanaunda tume sasa tume ya nn kila kitu kipo wazi sawa wanasema facebook na twitter ndio zimetufelisha acheni sababu zisizokuwa na msingi kwa mfano me facebook haijanifelisha na hata imenifelisha bac kwa asilimia 10% tu

Kwa hiyo unaona sifa kufeli!

Hujamuelewa si ukae kimya
mkuu? Maudhui anayotaka kuonyesha hapa ni kwa jinsi gani serikali
inavyodanganya kushuka kwa kiwango cha elimu umesababishwa na mitandao.
Mnajua walianza kufuta michezo mashuleni wakizani ndio kutatua tatizo,
jana Chiligati anasema bungeni JK kaongeza shule zimefika 4000 na zote
zina wanafunzi kwahiyo zimewapa fursa watoto wengi kuingia sekondari na
pia akakiri hakuna wanafunzi katika shule hizi hivyo tumsaidie rais
katika hii changamoto. Nilibaki mdomo wazi nakusema haya matokeo
wamefaulu sana
mimi ni kijana
niliemaliza form 4 last yr na matokeo yamekuja nimefeli vibaya mno i
dont know why naamini wa kulaumiwa ni serikali kwa kutosahiisha vizuri
halafu wanasema wanaunda tume sasa tume ya nn kila kitu kipo wazi sawa
wanasema facebook na twitter ndio zimetufelisha acheni sababu zisizokuwa
na msingi kwa mfano me facebook haijanifelisha na hata imenifelisha bac
kwa asilimia 10% tu
Pole sana mdogo wangu ila hizo 10% ni nyingi sana kwa sababu tukizitoa hizo unaondoka kwenye div 0 uliopata.nakupongeza kama umetambua kwamba kuna 10% umezipoteza kwa uzembe ( japo inawezekana ni zaidi ya 10% ).Hoja yako inaonyesha ulistahili kupata ulichopata hivyo nakushauri jipange upya rekebisha makosa yako .mimi ni kijana niliemaliza form 4 last yr na matokeo yamekuja nimefeli vibaya mno i dont know why naamini wa kulaumiwa ni serikali kwa kutosahiisha vizuri halafu wanasema wanaunda tume sasa tume ya nn kila kitu kipo wazi sawa wanasema facebook na twitter ndio zimetufelisha acheni sababu zisizokuwa na msingi kwa mfano me facebook haijanifelisha na hata imenifelisha bac kwa asilimia 10% tu
Pole sana,nashindwa nikushauri
vipi kwani umekubali mwenyewe umefail vibaya mno sijui vibaya mno
inamanisha umepata div zero au?Pia umekekubali mitandao ya kijaa kama
imesaidia wewe kufaili ni 10%.
Mini binafsi wakati nasoma sikuwa na mtu aliyekuwa anafuatilia maendeleo
yangu ya shule,niliamua kuchagua kusoma hivyo hivyo hata leo pamoja na
kuwa na facebook,twitter bado maamuzi ni yako.
Unaweza ukawa member facebook or twitter cha muhimu ni ratiba.Umetenga
muda gani kwa siku kwa ajili ya shule yako,kama wewe uko busy na tv,kila
kipindi unataka uangalie weekday na marudio yake weekend uangalie
,huoni unajipunguzia muda wa kujisomea?
Tatizo wanafunzi wengi hakuna watu wa kuwashauri na wakiwepo mnawaona
wanawashauri mambo ya kizamani na nyie mnataka muende na wakati.
Mi nilitegemea kiwango cha kufaulu kiwe kinongezeka kila
mwaka,why?Maswali ,vitabu na material ni yaleyale ni wewe tu mwanafunzi
na kichwa chako na muda wako ,tumieni internet kujifunza na siyo
kujipoteza.
Mimi nimehifunza mambo mengi kwa njia ya internet,internet si mbaya
inategemea unaitumiaje.
Usipende kutafuta mtu wa kumlaumu unaposhindwa katika maisha/shule
haisaidii,jiangalie mwenyewe ni wapi uliteleza,naamini jibu unalo labda
family issues,au kale kamchumba kalikuzingua sababu ni nyingi.Huwezi
soma vizuri kama tumbo halina kitu sijui kama unanielewe.
Mtihani si kipimo tosha cha uwezo wa mtu,hivyo bado unanafasi ya kuprove
matokeo uliyo nayo hayakuwakilishi wewe the way you are.
Mi nimefundisha sana mwanafunzi asipoelewa namfahamu on the spot(body
language) na hizi tuition zenu za siku hizi mfundishaji mwenyewe
alichemka badala ya kuwafundisha mnauziwa notice.Mwalimu mmoja
anafundisha tuition masomo zaidi ya matatu huyo mimi siwezi kukushauri
usome kwake,mimi naamini maximum mwalimu mmoja ili awe safi masomo
yasizidi mawili otherwise atakuwa anawauzia notice.
Usikate tamaa,prove that you deserve more,hizo ni challenge za maisha
kaza buti.