mimi ni kijana niliemaliza form 4 last yr na matokeo yamekuja nimefeli vibaya mno i dont know why naamini wa kulaumiwa ni serikali kwa kutosahiisha vizuri halafu wanasema wanaunda tume sasa tume ya nn kila kitu kipo wazi sawa wanasema facebook na twitter ndio zimetufelisha acheni sababu zisizokuwa na msingi kwa mfano me facebook haijanifelisha na hata imenifelisha bac kwa asilimia 10% tu
Pole sana,nashindwa nikushauri vipi kwani umekubali mwenyewe umefail vibaya mno sijui vibaya mno inamanisha umepata div zero au?Pia umekekubali mitandao ya kijaa kama imesaidia wewe kufaili ni 10%.
Mini binafsi wakati nasoma sikuwa na mtu aliyekuwa anafuatilia maendeleo yangu ya shule,niliamua kuchagua kusoma hivyo hivyo hata leo pamoja na kuwa na facebook,twitter bado maamuzi ni yako.
Unaweza ukawa member facebook or twitter cha muhimu ni ratiba.Umetenga muda gani kwa siku kwa ajili ya shule yako,kama wewe uko busy na tv,kila kipindi unataka uangalie weekday na marudio yake weekend uangalie ,huoni unajipunguzia muda wa kujisomea?
Tatizo wanafunzi wengi hakuna watu wa kuwashauri na wakiwepo mnawaona wanawashauri mambo ya kizamani na nyie mnataka muende na wakati.
Mi nilitegemea kiwango cha kufaulu kiwe kinongezeka kila mwaka,why?Maswali ,vitabu na material ni yaleyale ni wewe tu mwanafunzi na kichwa chako na muda wako ,tumieni internet kujifunza na siyo kujipoteza.
Mimi nimehifunza mambo mengi kwa njia ya internet,internet si mbaya inategemea unaitumiaje.
Usipende kutafuta mtu wa kumlaumu unaposhindwa katika maisha/shule haisaidii,jiangalie mwenyewe ni wapi uliteleza,naamini jibu unalo labda family issues,au kale kamchumba kalikuzingua sababu ni nyingi.Huwezi soma vizuri kama tumbo halina kitu sijui kama unanielewe.
Mtihani si kipimo tosha cha uwezo wa mtu,hivyo bado unanafasi ya kuprove matokeo uliyo nayo hayakuwakilishi wewe the way you are.
Mi nimefundisha sana mwanafunzi asipoelewa namfahamu on the spot(body language) na hizi tuition zenu za siku hizi mfundishaji mwenyewe alichemka badala ya kuwafundisha mnauziwa notice.Mwalimu mmoja anafundisha tuition masomo zaidi ya matatu huyo mimi siwezi kukushauri usome kwake,mimi naamini maximum mwalimu mmoja ili awe safi masomo yasizidi mawili otherwise atakuwa anawauzia notice.
Usikate tamaa,prove that you deserve more,hizo ni challenge za maisha kaza buti.