kufeli kwangu form 4 haimaanishi sina akili

bora umefunguka kijana kuliko kukaa nalo..lingukuathili kisaikolojia..
Point ni kambqa umefeli na haijalishi umechezewa foul au niaje..
kufeli kitabu sio kufeli maisha
tumia akili ulizobakiza kutafuta another opportunity..
 
Duuuu
jamani shule za awali zitiliwe mkazo. Manake hata kujijua kuwa bado kicha hakijawa levo nayo ni ishu.
Basi kwa kuwa tuko tz, ambapo elimu si muhimu, bora utoke tu uwe na ipad, flat screen, gari zuri, we endelea tu. Haina neno.
On another hand, kubali kuna kitu hakijakaa sawa KWAKO BINAFSI fanyia kazi, mambo ya serikali waachie wenyewe.
Bado una muda be focused on what you want
 
bora umefunguka kijana kuliko kukaa nalo..lingukuathili kisaikolojia..
Point ni kambqa umefeli na haijalishi umechezewa foul au niaje..
kufeli kitabu sio kufeli maisha
tumia akili ulizobakiza kutafuta another opportunity..

Acha kumpoteza mkuu. Ndo kufeli maisha labda kwenu kuwe maisha bora ila kama ni maisha ya chini bora urud shule au ukasomee ujuzi wowote.
 

Siamini kua facebook na twitter vunahusika sana sababu internet penetration kwa wanafunzi ni ndogo sana.
I believe the reason will not be just a line, like twitter, or waalimu kukosa motivation, or wazazi kutojihusisha. It will probably be a combination of more than one reason with the main stakeholder being to blame: wizara ya elimu, waalim, wanafunzi na wazazi wao.
Kijana ulifail vibaya, be honest here, it is anonymous: what part of responsibility do you take? Maana kuna ambao walipass...
 
Facebook unasema haina effect??hahaha ina effect kubwa sana kwa hawa madogo,
Hizi page zilizojaa picha za utupu na stori za ng*ono angalia likes zinazopata afu uchunguze nyingi zinatoka wapi kama si kwa wanafunzi,
Mimi hili swala lilinisumbua sana ila nikafuatilia na hawa madogo hata shuleni kusoma muda mwingi hutoroka shuleni, wengi wana makundi tofauti, mara wengine wavuta bangi, wengine makundi ya kupigna mtaani, wengine wapenda muziki kupindukia, wengine wanaunda makundi ya kuchez muziki mtaani, muda woote wanaupotezea huko, afu kazi kuioaumu serikali, Serikali najua ina part yake ila hili labda niseme kwa wanafunzi wengi wa kijijini na wasiojiweza kifedha kabisaaaa ila wenye moyo wa kusoma, nyie wengineeee woote ni ujinga wenu wa kupenda sana starehe na kusahau kusoma, mbona wengine wamepata division 1 na 2, hivi serikali iwafelishe hamjui wanaosahisha mitihani ni kaka zenu, dada zenu na wazazi wenu? Au mnadhani waziri ndio anaenda anakaa anasahihisha mitihani?? Na unadhani ni mtu moja? Kwa taarifa yako wapo wengi sana na kati ya hao wapo wenye uchungu na nci yao hawawezi wakafanya ujinga.
Kwanza anza kujirekebisha mwenyewe alafu ndiyo uiachie serikali, anza mwenyewe uone kama hata serikali utailaumu, mbona mimi nimesoma shule ya vipaji maalumu na walimu hakuna lakini kwa umoja wa wanafunzi tumeweza kujisomea na kusaidiana wale waliosomamtuition na bado nikafaulu vizuri? Sasa wewe wa mjiniunayecheza na facebook usiku kucha unaongea nini? Wengi wenu mkitoka shule tu mnafunika daftari, mtu kupata FFFFFFF masomo yote saba afu ukaniambia ni serikali imekukosesh huku we mtoto wa mjini nakushangaa sana, wa kijijini ambae hana waimu wala pesa anatafuta elimu anapata Div2, Jipange upya dogo, huo sio mwisho wa maisha sasa kaa ufikirie niniunataka ufanye na wapi umekosea usikae unatafuta wa kumtupia lawama mwisho wa siku haitosaidia chochote utakuta umepoteza muda tu, nimeona wengi ambao walifeli na wakaanza chuo ila walikua na goal ya kufika kupata degree kama wengine wakaanza kupigana wakaanza kusoma wakajirekebisha pale walipokua wamekosea na sasa wanasoma degree vizuri. Soma sana, weka malengo kichwani, hata kama umefeli ukisema unataka kua daktari unaweza, rudia form two uone kama hauwi daktari, afu ukirudia piga msuli kwelikweli, kua kama unaanza moja na weka dedication na hiyo kitu moyoni afu uanze kufuatilia field yako vizuri upate ujuzi zaidi, badala ya kupoteza muda facebook kaa youtube unaangalia basi hata video za biology au physics au hata masomo mengine kama wewe hupendi science.. Tumepita huko dogo na sasa tupo vyuo vikubwa duniani tunajua jinsi mambo yalivyo... And tafuta ushauri kwa watu ufanye nini sasa, Fightiiiiing!,
 
Badala ya kupoteza muda wako kupost haya hapa JF bora uanze taratibu wa ku-resit au kujiunga na VETA!! You are still young to be desperate ,come on keep on fighting boy!!
 
yoooote 9, kumi ni IMPACT YA MATICHA WA VODAFWASTA.FAILURE+ FAILURE=ZOMBIE AMESAHAU KUVAA VIATU
 
Kwa hiyo unataka kusema kufeli kwako ni kwa sababu una akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…