A
Anonymous
Guest
Wanafunzi wa chuo cha afya na sayansi shirikiri Tabora, wamekua wakipitia changamoto ya kupewa matokeo yasiyo sahihi kwa muda mrefu sasa, hali ambayo imepelekea wengine kupewa barua za kusitishiwa kuendelea na masomo (DICO),,, wakifuatilia matokeo yao wanaambiwa hawakufeli bali walikua na Incomplete,,, hali hii imekua ikiwanyima nafasi ya kuendelea na masomo katika vyuo vingine na hata kupoteza muda mtaani bila kujua hatima yao,, tunaomba NACTVET, Wizara ya Afya wafuatilie hili,, ndugu zetu warudi kuendelea na masomo.