Kufika Botswana kwa Basi!

Umetisha sana Mkurugenzi kwa maelezo Yako.... Big Five.... Umeeleweka kwelikweli
 
Inawezekana ulikuwa na lengo zuri tu la kutoa msaada wa nini cha kufanya ila changamoto umeandika mambo mengi mixer totozi hadi nahisi badala ya uelewa lazima mtu apotee uwelekeo.
 
Umeflow vizuri sana
 
Hapa nahitaji elimu ya kutosha
Sawa.

Huku kusini mwa Africa kuanzia Zambia, Zimbabwe Botswana south Africa na wengine suala la ngono ni kitu Cha kawaida sana.

Wanawake wa huku kukuvulia chupi kwao sio jambo la kufikiria mara mbili na ukiwa alshabab ndio kabisa.

Mavazi yao ni yakimtego sana sisi watu kutoka hapa Dodoma ukifika kule unashindwa kukilinda kiapo chako Cha kuto kuchepuka.
 
Nimekuelewa mkuu
 
Kama unataaluma flani na upo creative + umakini kwenye maswala ya ngono, Botswana ni nchi nzuri sana kujijenga kiuchumi.
Au nasemaje mtoto wa Dodoma Mwana Taaluma ?
 
Kama unataaluma flani na upo creative + umakini kwenye maswala ya ngono, Botswana ni nchi nzuri sana kujijenga kiuchumi.
Au nasemaje mtoto wa Dodoma Mwana Taaluma ?
🤣🤣🤣 Hakika mkuu Mimi mtoto wa mboka manyema. Hapa idodomya ni uwanja mkuu wa Tz hivyo harakati zinatokea hapo kwenda mataifa mengine sio dar tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…