Kwa uzoefu mzuri unganisha safari hii itakusaidia kujua mengi zaidi.
Nisikilize Mimi.
Panda gari ya tunduma kutokea utokeako. 45k DOM-TDM
Pale change fedha ya Zambia Zambian kwacha saivi ni Tsh 8k kwa 100 Zk change walau 120k inatosha kabisa, Hapo utapata walau 1050k Zk.
Nauli ukipanda entercape ni luxury buss kama katarama, hapo unyama ni wakutosha. Walau 600-850 sijajua utakuta nauli zipo kwa wakati huu. Uzuri Zambia nauli ikipanda imepanda na ikishuka inashuka. Sio hapa nchi ya CCM nauli ikipanda ndio imepanda.
Ukipanda gari kama power tools au hizi za Tanzania taqwa, falcon na friends utalipa kati ya 500-700 Zk sasa kazi kwako ila Mimi nakushauri panda entercape ule kipupwe ni safari ndefu sana more than 1000 kms.
Kule chuma zinatembea ukipanda hizi ngumu kumeza utaisoma namba hususan ukiwa mtu Fulani afisa afisa. Ila utapata utamu wa safari maana humo hakuna vijana wa tandika na mwananyamala unaamza safari ukiwa karibu na watu wenye heshma zao.
Zambia gari zinaanza safari 4:00 am na ikifika 10:00 pm hakuna gari kutembea isipokua gari za mafuta na gari zenye kibali Cha kutembea usiku hivyo chuma zikiamka hiyo 4:00 am zinaenda kushusha oil entercity bus stop. Ila zipo gari za kuanzia muda huo 6:00, 7:00 Hadi 12hrs pm. Pia unaweza kupanda shutters za mpika,kapili nk. ila utasafiri kwa tabu sana. Pia unaweza panda IT au private car zote unazipata hapo power tools au mbara pale road block ya kwanza.
Zambia ni wewe na kiuno chako, kule watoto wa kike hawana hiyana na vitu ambavyo wamepewa bure. Gari ikitokea imelala popote iwe mkushi, kapiri, au kabwe wewe peleka moto imarisha diplomasia ya mahusiano. Pia hakikisha una hata dozi Tano sita za azuma. Au box la salama. It's up to you
Ukifika hapo intercity wapo Hawa baniani na wabongo kibao tu wanafanya mishe zao wengine ma agent wa hizi chuma zinazo Toka huku kwetu. Hapo jitahidi ukae hata siku mbili. Jifunze kidogo kama budget ni ndogo utalala hapo hapo stand. Usalama ni kama upo stand za nyumbani sema wenzetu waaminifu zaidi. Akikwambia lala hapa hakuna mtu wa kukugusa.
Pale pia kulikua na gari za Moja kwa Moja Lusaka to Gaborone through kazungura border post, hapo mchina kafanya unyama Fulani hivi mto Zambezi daraja lime combine road way na railway. Japo rail bado haijawa connected. Hapo kazungura gono ni kama upo mafiat.
Hapo bus za gobs sio nyingi gari nyingi zipo fransistown ambapo ni tayali Botswana.
Ipo hivi nauli kama kwacha 800-1200 au Pura 200-450. Zile gari huwa zipo kwa msimu hizo nchi hawana muingiliano sana maana wazambia hawapendwi Botswana huwa inawapa shida sana hivyo mazingira yanawafanya wasiweze kuingiliana sana. Wa Botswana ndio kabisa ni wachache na kwao Bora south Africa sio hizi nchi zetu za kishamba.
Ili upate experience nzuri Fanya hivi. Panda shuttle za Lusaka living ston kisha Livingston to kazungura hapo hapo zipo au buss kubwa za sesheke huko ni border na Namibia ila gari kubwa ha zinazoelekea huko hapo kazungura zinapita tu hakuna bus ya Moja kwa Moja baina ya hiyo mini miwili maana wenzetu hii sector ya usafiri wanabustiwa na south.
Hapo kazungura ni border ya Zambia na Botswana na Wana one border stop control station. Hivyo ukifika kama mapema unavuka kabisa pale unavuka kwa tax una anza kukutana na mishangazi ya ki swana ndio matax driver wengi hapo. 50 pula kibosi kabisa.
Jitahidi uvae smart Ili usisumbuliwe hapo upande wa Botswana wanatujua kwa ujanja ujanja wabongo. Ila ukiwashikia smart wanatuheshimu sana wanakubali vichwa vya Nyerere huwa viki amua lao havishindwi.
Hapo sasa utapanda Tena tax za kushare mpaka fransis town au shuttle hapo gharama inaweza kua kati ya pula 80-150. Huko utaanza kuona kabisa CCM hapo serious na kuijenga hii nchi utakuta vimiji vidogo vidogo lakini ni vizuri sana. Vime pangwa vizuri na watu wako smart.
Kutoka fransistown mpaka gobs ni kama 400 pula hivi. Unyama wote inakua umeuishia hapo.
Kimbuka; Tunduma huhitaji kwacha nyingi Ili uendelee na safari safiri smart na Visa-card au master card au maestro. Ukishinwa change rand hapo kwa hao ma blockers wa tunduma hiyo unaichange popote pale. Ukishindwa hapo entercity wanachange hata Tsh wapo wadau.
Zingatia: Ordinary passport yako yenye walau page tatu blank, yellow fever certificate na walau akili timamu. Ni muhimu sana hasa unapo enda sehemu ukitegemea maelekezo ya watu. Google map ita kupa ramani, pesa yako itakupa maamuzi na msaada ila akili yako itaamua jambo sahihi.
Tafadhali: Zambia unapo ingia huwa wanaandika uelekeo wako mf. Kama unaende Botswana wataandika pale juu ya seal stemp yako BTS kama ni Lusaka wataandika LSK kama ni congo dr wataandika pia drc. Sasa ikitokea umepata udhuru au ume ghairi safari yako wakati umeisha Anza uhamiaji wao ni watu Fulani wapuuzi sana wanakushikilia kwa kubadiri lengo la safari. Na unalala ndani kama huna njululu. Ila Botswana wao wazungu weusi usiwawaze kbsa.
Hakikisha ukifika kule umepata toto moja mali safi jifanye umelipenda ukweli wa kulipenda Mzee. Huku bongo ni nyumbani inakupasa kuja kusalimia tu sio kuishi kwa sisi tusio na kadi za CCM.
So 300k unaenda unafika unalala guest unakula unalamba na totoz .
Dom tunduma 45k
Nakonde Lusaka 60-80-100k
Lusaka kazungura 20-35k
kazungura fransistown 35-55k
Fransistown to Gaborone 60-80k.
Nikikuchanganya sehemu niludie mkuu. CCM mbele kwa mbele.