Polisi ben
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 303
- 83
Mhe, Polisi ben nimekuchanganya ama unejimiksi mwenyewe?
Ukisikia "Rais kafumaniwa akibanjua amri za Mussa kichochoroni" usinyooshe kidole Magogoni!
Kuna Rais wa TFF, Rais wa ngumi, Rais wa wasomi kule St. Augustine n.k n.k!
Ayiiiiii . . . .utamu utamu mpaka kwa moyo. Aah ssshiiiiiii. . . !!!
Una maana huyo wifi hujamjua jina hadi leo?
Mchane tu kwa jina jamvi lipate displini !
kama unao wengi
c nitaharibu?mtaje ww
unaempenda kuliko wote!
Ndiyo kusema wewe peke yako si rahisi ufike kileleni ! Ni mpaka ukwezeshwe na mkwezi ?