Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Nachelea kumtaja shem!
Wajua nikimtajaga tu, kusisimkwa kunanihusu! Afu leo nimevaa suruali ya kitambaa , kisha nimechomekea! Nta'azilika buree! Tuiweke agenda uporo hadi siku nimivaa jeans ! Ndo nimchane.
Humo kivipi? Hao ni mtu na shemejie nnavyojua mie!
Kwani wewe unafahamu mahusiano yao tofauti na hivyo? Hebu funguka manaake sikuwepo hapa kama wiki hivi !
Polisi ben kamata huyu Judgement, tupa ndani lupango..
Wasipokuja?
Wadau habari zenyu!
Kwa takriban wiki na ushee hivi, nilipotea jamvini. Ambapo nilitumia mapumziko ya Easter kuupanda mlima Kilimanjaro. Dhamira ikiwa nifike Kibo na Mawenzi.
Namshukuru muwezeshaji wa Afya, Pumzi na Uzima kuniwezesha.
Kileleni nimefika! Hakika kuna utamu wake.
Ambao mlijaribu mkaishia njiani, jaribu tena, Kilele jamani kitamu. Ambao hamjatia nia ya kufika huko nawarai tieni.
Kwangu wewe ni bingwa wa kutumia lugha,naamini kabisa kama kungelikuwa na thread ya week ya chit chat hii ingeshika chati.
Nimefurahi jinsi ulivyotiririka na ulivyofanikiwa kuhamisha mawazo yetu.
Umetisha.
Mh we nawee lolJaman shem hongera sna. Huo ndio utamu wa yale mambo