Kipipi hizo kelele zako za kimahaba ushaniathiri kisaikolojia ivoo!
kweli kabisa swali zuri pia atuambia alikuwa na nani , ilikuwa ni mashindano kwamba nani wa kwanza kufika ama kawaida tu, kipi kilikushawishi kufika huko ila nasi tushawishike kuwafikisha wanaopenda kufika je ni utulivu wa mazingira na baridi ya eneo husika juhudi binafsi ama.....funguka umeacha njianao hapoSasa hujatuambia kama kilele iko ulikifikia usiku ama mchana.....
Mh we nawee lol
Hajamaanisha yale mambo ya The secretary na Bishanga kamaanisha mlima Kilimanjaro kule Kibo
Pamoja na kuwa na kipandio kilele umeshindwa panda pole sana
Na uzee huu nihangaike kupanda milima nikivunjika kiuni kitaungaje?
Hayo mambo yenu bhana
utawajua tu full time kuwaza niniliyudah!nilishtuka
nikasema shem umepatwa
na nini?kumbe kilele cha mlima
heheeee!
Kipi ?
Hakuna lolote lililotokea mupenzi, wewe ndio mmiliki halali. Erickb52 ni shemu wanguHumo kivipi? Hao ni mtu na shemejie nnavyojua mie!
Kwani wewe unafahamu mahusiano yao tofauti na hivyo? Hebu funguka manaake sikuwepo hapa kama wiki hivi !
utawajua tu full time kuwaza niniliyu
kopi😡ruttashobolwa.....kazi unayo
Jamani Passion Lady, huyo Erickb52 ni shemu wangu tu, mwenye mali ni Judgementcc Erickb52
mi simoooo!
Nilikua na mpenzi wangu!
Juhudi binafsi vilikua ni vigezo maridhawa kutufikisha at the destine of the peak!
Na uzee huu nihangaike kupanda milima nikivunjika kiuni kitaungaje?
Hayo mambo yenu bhana