Kufika kileleni, kupiga bao na kufanya masterbation kunaharibu maisha yako

Kufika kileleni, kupiga bao na kufanya masterbation kunaharibu maisha yako

geniusMe

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
1,311
Reaction score
1,780
Moja kwa moja kwenye mada

Kama unatabia ya kujipongeza kwa kufanya ngona bila stahiki acha mara moja unajiharibu kufanya ngono ni kuzuri, kuna faida nyingi katika mwili wa binadamu lakini kuna mipaka yake, unatakiwa kufanya ngono inapobidi yani ufanye ngono kwa sababu, kama hauna sababu ya kufanya ngono acha mara moja, unajiletea madhara makubwa.

Ngono inatakiwa kuwa kama mshahara baada ya kufanya mambo kadhaa, lakini unapokuwa unapata ngono pasipo kujiwajibika hata kidogo inakuharibu kabisa, ngono inabidi kuwa mshahara wa mahusiano, unatengeneza ashiki kwenye mahusiano inajaa inapanda alafu unakuja kuondoa kwenye ngono, lakini unapokuwa unapata ngono bila kuwa na mahusiano unauchosha mwili na unaharibu akili yako kabisa

Ngono inabidi kuwa kichocheo cha kukufanya ufanye mambo kadhaa iliuweze kupata ngono, mfano mtu anatakiwa kujifunza kuwa na mahusiano mazuri, mahusiano ya kimapenzi na jinsia ya pili, haya mahusiano yanapelekea mtu kuwa na ufahamu wa mazingira pia anapata life skills za kuweza kumuwezesha kutatua changamoto mbalimbali za maisha, anajifunza kuhusiana na mwenzake anapata faida ya akili anapata faida ya kijamii, anajifunza kuwa na mahusiano mazuri ili baadae awezekupata mshahara wa ngono kama matokeo yake

Ngono inabidi kutumika kama mshahara hii ni kwa jinsia zote mbili, ngono inabidi kuwa kama pongozi baada ya kufanya mambo kadhaa baina ya watu wawili, inabidi kutumika kutengeneza attachment, ngono inatumika kuponya mahusiano, kuponya utengano baina ya nyinyi wawili.

Yafuatayo ni madhara ya mtu anayefanya ngono pasipo stahiki

Kuishiwa nguvu, unapofanya ngono bila stahiki utapatwa na tatizo la kutokuwa na nguvu, siku zitakuwa zinapita unaona maisha yanaendelea tu mwili hauna nguvu, unajisikia uchovu, energy yako iko very low, yani unashindwa kufurahia maisha kabisa, unahisi kabisa kuna kitu kimepungua katika maisha yako tatizo ni kwamba unapata ngono nyingi na sababu inakuja bila condition bila kuifanyia kazi bila kuwajibika utakuwa mtumwa wa ngono na itakupunguzia nguvu zako mwilini, haya ni madhara ya kupata ngono free au kufika kileleni bure tu, sababu muda wowote unapotaka kufanya ngono unapata tu, bila kujua inakuumiza.

Aibu na majuto, kama unafanya ngono bila kuwa na mpenzi kama vile kujichua , kuna kupelekea kuwa na aibu na majuto, unashindwa kuwa na mahusiano mazuri na jinsia ya pili hata jinsia yako pia, ndani ya moyo wako kuna kuwa na mfadhaiko mkubwa unajiona wewe ni mtu wa ajabu sana, unajiona wewe ni mtu mwenye mapungufu katika jamii, unaweza kudanganya watu wengine lakini hauwezi kudanganya nafsi yako nafsi yako itaendelea kulalamika kama unapata ngono ambayo haina faida kwako, utakuwa unapata ile raha ya ngono tu kufika kileleni rakini akili zako zitakuwa zinatamani kuwa na mahusiano na jinsia nyingine lakini ile nia itakuwa haipo sababu tayari unapata mahitahi ya kufika kileleni, chemical za dopamine ambazo unazitoa wakati wa kufika kileleni zinaupongeza mwili, na mwili unaona tayari umepata kile ambacho unastahirl, bila kujua hayo sio mahusiano, dopamine ndio inakupa msukumo wa kutaka kufanya jambo inakupa msukumo wa kutafuta mpenzi inakupa msukumo hata katika maendeleo ya maisha yako, unapokuwa unafika kileleni bila stahiki na mara kwa mara unapopenda wewe tu muda wote utakosa msukumo wa kufanya yale unaweza fanya hivyo hali hiyo itakuletea aibu sana katika maisha yako wewe utakuwa mtu wa kulizika tu baadae majuto.

Kuona jinsia ya pili kama chombo cha starehe cha ngono na kuwavua thamani kabisa, kama unajichua utakuwa unaona jinsia nyingine kama chombo cha ngono, utashindwa kuona thamani ya jinsia ya pili, kila ukiona mwanaume mzuri au mwanamke mzuri unakua unaona ngono tu unashindwa kutambua kuwa kuna mambo mengi ambayo unaweza kufaidika kwa kuwa na mahusiano na upande wa pili, lakini sababu ya kujichua, pia hata kama unapata sex kutoka kwa mwanamke let say Malaya itakufanya ukose kuona thamani ya jinsia hiyo

Kuna mambo mengi ya kusema hapa ngoja nifupishe ni bora ukabaki bila kufanya ngono ile hali ya kupiga bao inatoa chemical za dopamine ambazo zinafanya mwili wako kusikia vizuri, unafanya mwili wako kupata starehe wakati hakuna kitu chochote ambacho umefanikisha, kwa hali hiyo inakufanya ushindwe kuwa na ile nguvu inayoweza kukusukuma kufanya mambo positive kataka maisha yako ambayo yangeweza kubadili maisha yako, ngono itumike kama mshahara wa kujipongeza tu, lakini ikitumika kama kujifurahisha utakosa msukumo wa kufanya mambo ya Msingi kwenye maisha yako sababu utakuwa tayari unayapata bila kufanya chochote, hii itakufanya uishi maisha mabaya sana, acha kufanya ngono ambayo haina faida epuka kutoa hizi chemical za dopamine kila mara kwa kufanya ngono, itakupelekea kulidhika katika maisha, itakufanya ushindwe kujenga mahusiano imara sababu utakosa nia utakosa msukumo, mwili utakuwa unadai dopamine na utaishia kufanya ngono au kujichua kama starehe na mara baada ya kufanya ilo mwili unaona tayari umemaliza kila kitu.
 
Pale mhitimu wa form six "PCB" anaporudi mtaani nakujikuta mtaalamu wa afya.

Yani mkuu wewe hata matokeo yako hayajatoka tayari ushakuwa na mjuaji hivi,
Je siku matokeo yakitoka umefaulu si ndo utakuja hapa kuzuia watu wasinyanduane kabisaa..
 
Wana mnayumba nimeandika kama unataka kufanya ngono fanya ngono yenye faida sijasema uache maana yangu acha kupiga puchu acha kufanya ngono na malaya kwani japokuwa ngono inafaida ina madhara pia, hapa na zungumzia ngono kama kupiga bao, kunakufanya upoteze nguvu na determination sababu hisia za kupata ngono ndio humfanya mtu kuwa na malengo ya ku work toward it lakini kama wewe unaweza kufika kileleni kwa kujichua au kwa kutumia malaya, ku release dopamine kuna kufanya ulizike na hari hiyo, na hivyo inakuja kuharibu picha nzima ya maisha yako
 
Pale mhitimu wa form six "PCB" anaporudi mtaani nakujikuta mtaalamu wa afya.

Yani mkuu wewe hata matokeo yako hayajatoka tayari ushakuwa na mjuaji hivi,
Je siku matokeo yakitoka umefaulu si ndo utakuja hapa kuzuia watu wasinyanduane kabisaa..
Nimeanza kuandika hizi post kitambo angalia hapo me ni JF expert lakini kama unaamini nimeingia JF baada ya kumaliza form six sawa nitumie pesa kaka nifanye application ya HELSB
 
Kuna watu mnavipaji vya ku type[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Nimeisoma lakini.. Usitutishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Umesema vyema sana mkuu sema humu watu n wabishi sana

Hata Biblia imesema usiyachochea mapenzi hata .....

Huu mstari ukiutafsiri kimwili tu hata sio kiroho unaona kuna madhara ya hvo vitu

Sema vizazi hv vya bodaboda havielewi hata
 
Back
Top Bottom