Kufika kileleni, kupiga bao na kufanya masterbation kunaharibu maisha yako

Kwanza, Inaonekana mtoa mada ndio ameijua leo dopamine maana maelezo mengi then anarudi palepale kwenye dopamine, nikajua kutakua na points nyingi tofauti tofauti😂😂😂

Pili; Ngono ndio inawapa wengi msukumo wa kupiga kazi mfano binafsi nilisoma boys levels zote na kitabu hakipandi mpaka nipige nyeto(angalau bao mbili)😁 then ndo akili inatulia kufanya mambo mengine na kazini pia hadi nikiwa na mtu wa kunikeep busy usiku au mchana ndio kazi za watu zinafanyika vizuri.

Ufupi mtoa mada utakuwa na tatizo la nguvu za kiume kama mchangiaji alivyodokeza hapo juu, unaweza kujiona unasimamisha mnara kumbe bado uko 2G😁 uliza walioko 5G+ uelezwe namna genye zinavyosumbua akili😂
 
Kuna mambo mtu unaweza kushindwa kuelewa kutokana na umri uliopo bado unahitaji muda kuelewa concept hii, inaweza kuwa ngumu kuelewa kwa sasa lakini ukiwa mtumwa wa mambo haya kuna age itafika utakuja kugundua kile ambacho uliona ni asali kwa muda huo kilikuwa ni sumu kali ambayo iliruhusu kuingia mwilini mwako, ukiwa kama kijana una kila sababu ya kwenda ku explore sexual desire lakini omba sana akili zako zije kugundua madhara ya hicho unachofanya kabla hujaharibu maisha yako.
 
Umeandika mengi. Ila ni kweli yote.
Eti unambato demu kwakuwa umemtamani unamnunua ili akuvulie pichu bila yeye kuachia moyo kwako
 
Tatizo pia mtoa mada anadhani wanaompinga ni wazinzi, La hasha! Kama watu wamekubaliana kufanya mapenz sidhani kama kuna madhara mbali na magonjwa ya ngono(ambayo bila shaka sio madhara yanayolengwa hapa na uelewa upo wa kutosha namna ya kuyaepuka kwa watu wazima wote). Labda angetoa msisitizo wa kutoendekeza ngono bila kujishungulisha na harakati za kujikwamua kimaisha.

Nje na mapendekezo yangu hapo, mtoa mada amehusisha vitu viwili ambayo havihusiani kibaiologia maana hakuna ushahidi wowote kuwa mtu anayefanya sana ngono lazima ashindwe kufanikiwa kwenye mambo mengine ya maisha. Pia inaonesha ameshindwa kuielewa au kuhusianisha effects za dopamine katika kila situation ambapo inakuwa inazalishwa na amejikuta akichanganya mafile na kabla ya kuelewa mambo vizuri akadakia kuanzisha uzi.

Kwa kawaida na ukiachilia mbali magonjwa ya nguvu za kiume na mengineyo,Mwanaume mwenye afya kadiri umri unavyozidi ndivyo nguvu za kiume huzidi kupungua na endapo mtu hatazingatia lishe bora na mazoezi tatizo huwa kubwa zaidi na hamu ya kufanya mapenz hupungua tofauti na ujana.

Hivyo mtu anayejielewa anaweza kutafuta maisha ujanani na akafanya ngono salama mara nyingi atakavyo na akafanikiwa. Na sidhani kwa hilo Mtu mwenye akili atakuja kujutia uzeen bali atakuwa satisfied kuwa alitumia akili, nguvu na hisia alizokuwa nazo ujanani vizuri. Hivyo mara nyingine watu wazima usiwaone au wasijione kwamba wamekuwa na busara au akili zimeongezeka kwa kutokufikiri, kuendekeza au kupuuzia ngono kwao bali wafikiri kuwa huenda ubora wa nguvu zao za kiume umepungua na wasione vijana wajinga. Wawashauri tu vijana kuwa wanaposhika moja(ngono) lingine lisiwaponyoke(kujituma), na hilo linawezekana trust me! i can tell you stories...

Mwisho: Wengi wanaojutia ngono, kushindwa maisha na majuto mengine ni kwasababu ya Uvivu, Mangonjwa ya ngono na ya kutokuzingatia lishe bora na uhusiano mbovu kati yake na Jamii au Mungu na kupoteza Fursa. Ila Kwenye Ngono kama ngono as long as ni salama haitamfanya mtu ajutie katika umri wowote. Tunaomba utuache na urudi Library.

Ntakuja na somo kuhusu Dopamine🙏
 
Sijamwelewa mtoa mada,
Heading na yaliomo hayaendani ,,
Mmmh!!
 
Pale mhitimu wa form six "PCB" anaporudi mtaani nakujikuta mtaalamu wa afya.

Yani mkuu wewe hata matokeo yako hayajatoka tayari ushakuwa na mjuaji hivi,
Je siku matokeo yakitoka umefaulu si ndo utakuja hapa kuzuia watu wasinyanduane kabisaa..
Hahaaaa
 
Mkuu at end of the day

Kuna kufa .. Yaani hata ukiepuka kufanya ngono kama ulivyo shauri

Still utakufa tu kama wafanyaji ngono holela watakavyo kufa

So enjoy your life mkuu .. Haya maisha ukiyachunguza kwa kina utabaini kwamba hayana maana yeyote
 
Hahaaa
 
Hii elimu uliipata wapi?
 
Live, and let live.....!



Let's meet at the top, cheers 🥂
 
kwa typing speed yangu hata dakika mbili sijachukua kuandika hii post
Kwa uongo huo we Chukua fomu ya ubunge mkuu, yaan gazeti hilo hujatumia hata dakika mbili kuandika[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…