Leo Novemba 3, 2026 Bungeni Dodoma, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Mariam Ditopile, akiwakilisha taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa, ameeleza kuwa hadi kufikia Juni 2025 Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ulikuwa unawadai waajiri shilingi bilioni 104.1
Ameeleza madai ya watoa huduma yaliyokataliwa ya bilioni 70.8 na urejeshaji wa bilioni 2.1 tu kati ya bilioni 3.4 za udanganyifu, hali inayotishia ukwasi na uwezo wa mfuko huo kugharamia huduma.
Ameeleza madai ya watoa huduma yaliyokataliwa ya bilioni 70.8 na urejeshaji wa bilioni 2.1 tu kati ya bilioni 3.4 za udanganyifu, hali inayotishia ukwasi na uwezo wa mfuko huo kugharamia huduma.