Kufikia sasa kuna Klabu 185 za wapinga rushwa zimeanzishwa mashuleni na TAKUKURU

Kufikia sasa kuna Klabu 185 za wapinga rushwa zimeanzishwa mashuleni na TAKUKURU

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
KLABU 185 ZA WAPINGA RUSHWA ZIMEANZISHWA MASHULENI

Katika kipindi cha kuanzia mwezi Julai, 2024 hadi Machi, 2025,
Klabu 185 za wapinga rushwa zilifunguliwa na 5,474 ziliimarishwa katika shule za msingi, sekondari na vyuo.

Vilevile, TAKUKURU imeingia makubaliano ya ushirikiano na Chama cha Skauti Tanzania na Tanzania Girl Guides Association (TGGA) kwa lengo la kuwaelimisha vijana wa skauti kuhusu kuzuia na kupambana na rushwa.

Huu ni utekelezaji wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2024/25 kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

 
Ushenzi mtupu.
Rushwa haipingwi kwa kuanzisha vilabu.
Ajira zenyewe za TAKUKURU zimejaa rushwa ya kujuana, fedha na vyeo.
Kwahiyo hivi vilabu ni upuuzi mtupu.
RRushwa Tanzania tunafundishwa na kuhamasisha kuitenda tangu shuleni, vyuoni na wakati wa kuingia kazini.
Mtoa mada hiyo leseni yako class D uliipata kwa halali kwa 100%?
 
Waambie ukweli Hawa wapumbavu! Zina faida gani? Rubbish kabisa!
Ndio nimemuuliza zina tupa faida gani ikiwa watoto toka wapo shuleni wanajua polic wanakula rushwa kwa namna fulani. Wanajua kuna mafisadi wanajua kuna rushwa za ngono na wana zishiriki. WTF. Viini macho tu
 
Back
Top Bottom