Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Waambie ukweli Hawa wapumbavu! Zina faida gani? Rubbish kabisa!Zina faida gani
Ndio nimemuuliza zina tupa faida gani ikiwa watoto toka wapo shuleni wanajua polic wanakula rushwa kwa namna fulani. Wanajua kuna mafisadi wanajua kuna rushwa za ngono na wana zishiriki. WTF. Viini macho tuWaambie ukweli Hawa wapumbavu! Zina faida gani? Rubbish kabisa!