Hapa ndipo demokrasia imetufikisha, maandamano Nairobi yamefanyika kwa amani, huku polisi wakilinda waandamanaji bila visa vyovyote. Ndugu zetu kule Kisumu na Migori wanafaa nao waige huu mfano. Inawezekana na imewezekana Wakenya kujitokeza barabarani na kuandamana bila uvunjivu wa amani.
Japo kuna visa vidogo vidogo nje ya mji, kama vile Kibera na Mathare, lakini wengine wote wamedumisha uelewano na ukomavu wa kisiasa. Haki yao ya msingi ya kuandamana wameitekeleza bila fujo na bila kutuzingua sisi ambao hatuandamani.
Hongera Wakenya, Mungu ibariki Kenya.
You know that right he he heOdinga ni kiboko yao.
Nilivyosikia kuna majeruhi wa kifo Kisumu au maisha ya Wajaluo hayana thamani mpaka useme hakuna kilichoyokea?
MK254,
Hivi mkuu wa Polisi (IGP) alivyokuwa anaongea kupiga mkwara a.k.a kutishia watu wasiandamane alikuwa hafahamu sheria na katiba ya nchi ya Kenya inaseamaje kuhusu haki ya kuandamana na kupewa ulinzi?
Au ni hali ile ile ya nchi za kiafrika kuwa kuna katiba nzuri katika karatasi pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kutoa ufafanuzi kwa watawala lakini viongozi walio madarakani hawataki kuifuata katiba na kutumia mabavu kuminya uhuru wa kuanamana na kujieleza kwa amani?!
Inabidi mpaka serikali iliyopo madarakani na chama kinachotawala kiburuzwe mahakamani ndiyo ikubali na kupoteza muda wa Mahakamani wakati kila kitu kipo ndani ya katiba inabidi watawala wabadilike na kuacha kutumia mabavu.
Court refuses to stop CORD demonstrations orders police to provide security
Published on 6 Jun 2016
High court judge Joseph Onguto declined to issue orders stopping ongoing anti-IEBC demonstrations on grounds that the petitioners had not shown any evidence to the court to warrant any orders.
However police were ordered to provide security and ensure public safety.
In his ruling Onguto further noted that the removal of IEBC commissioners from office must be done within the law.
In the case five jubilee MPs led by Ferdinand Waititu had sought to stop the CORD-Led demonstrations against IEBC.
Source: qtv kenya
Lakini kisumu si wameripoti kuna mtu kafariki
MK254 lakini UK pia naye si mchache ni either yeye kilaza ama anataka IEBC ikae
Wakati cord walipitisha bill parliament ya kutoa IEBC jubilee waliipuuziliambali hlo kitengo lakini RAIS ana powers za KUVETO anybill to follow his way up to a certain amount I think 5 a year..... Kama angetaka angepitisha hyo issue ya cord awapite wabunge wa chama chake... It's not like they will disown him!!!!
The thing is, there is so much behind the scene machinations on both sides. This is one debate you can't discuss along the grounds of right or wrong. There are so many strategy night meetings when media cameras have been taken back to the store. What each one says on camera is far more different from the inside discussions.
Uhuru definitely wouldn't want the current IEBC as constituted to go, and will try anything within his ability to retail them, Raila on the other hand wants each one of them bundled out. Both protagonists have own reasons, some valid while some are mere hypocrisy.
But I hope and trust they will maintain peace, I still have kept my vote for Uhuru and I will vote for him very early in the morning as long as he maintains peace and the current economic development pace. That's my opinion.

So far hajamaintain peace bado, what's your opinion. Will you still vote for him akikataa kata kata kuwatoa iebc.