Kufikiri unaongoza nchi wakati 50% na zaidi ya watanzania wanajua hujafanya chaguzi !!! ni ujinga.
Watanzania wa leo sio watu ambao wanachelewa kujua ukweli kwasababu ya techmnologia na elimu ya watu.
Rais wanao kudanganya waangalie tena hutaweza kupata amani kwa mazingira haya. Watanzania ambao wanajua huu uchaguzi ni fake ni zaidi ya 50% sasa unaenda kutawala nchi ya namna gani.
Usije kujidanganya mambo yatakuwa powa tu ! Hao hao machawa tena wakijua hugombei tena ndiyo hao hao wataanza kujinadi kwa kujiweka mbali na wewe