Daah! vita ilikuwa kali, maskini Membe hakujua labda mwenzie atamzamia kuzimu kabisa.Nguvu kali za kiza za kuzimu.
Hukumu ilishatoka alipwe kuna warithi wake hawajafaHabari kubwa leo ni kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mhe.Bernard Kamilius Membe, ambaye amefariki dunia katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.
Swali linalogonga vichwa vya watu wengi ni je nini kitatokea kwa ndugu Cyprian Musiba anayejitambulisha kama mwanaharakati huru ambaye Mahakama ilimuamuru kulipa fidia ya takriban Shilingi Bilioni 18.58 kwa ndugu Membe ambaye sasa ni Marehemu.
Wataalamu tupeane elimu hapa
Duuuu unasemaje!!!!!!Kaka Denis B Membe yupo,
kifo hakifuti deni. ni mdaiwa lazima amlipe. tena sasa ndiyo itamuwea vigumu maana msimamizi wa mirathi na mahakama vitampa deadline ili mali za marehemu zigawanywe kwa warithiHabari kubwa leo ni kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mhe.Bernard Kamilius Membe, ambaye amefariki dunia katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.
Swali linalogonga vichwa vya watu wengi ni je nini kitatokea kwa ndugu Cyprian Musiba anayejitambulisha kama mwanaharakati huru ambaye Mahakama ilimuamuru kulipa fidia ya takriban Shilingi Bilioni 18.58 kwa ndugu Membe ambaye sasa ni Marehemu.
Wataalamu tupeane elimu hapa
Nani anataka kufa ghafula Tena, lazima waufyate mkiaHabari kubwa leo ni kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mhe.Bernard Kamilius Membe, ambaye amefariki dunia katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.
Swali linalogonga vichwa vya watu wengi ni je nini kitatokea kwa ndugu Cyprian Musiba anayejitambulisha kama mwanaharakati huru ambaye Mahakama ilimuamuru kulipa fidia ya takriban Shilingi Bilioni 18.58 kwa ndugu Membe ambaye sasa ni Marehemu.
Wataalamu tupeane elimu hapa
Kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mganga wa Musiba ata andaliwa Karamu ya kifalme kama shukran kwa kazi kubwa aliyoifanya