Kufuatia Kifo cha Bernard Membe, Je, nini Kitatokea kwa Cyprian Musiba?

Kufuatia Kifo cha Bernard Membe, Je, nini Kitatokea kwa Cyprian Musiba?

By the time Membe anakufa tayari Auctioneer alikwisha chukua mkataba. Issue ya mali za Musiba halikuwa mikononi mwa Membe tena.

Ni juu ya msimamizi wa Mirathi kufuatilia kwa Auctioneer
 
Na wasemaji watakua wengi tofauti na mwanzo yeye tu na si unajua viherehere vya warithi vilivyo...
Inayokuja hii ni KOMOA NKUKOMOE mganga awe sawaa hapo.
 
Familia itaendelea marehemu alipoishia...wanasheria wataendelea kusimamia hadi hukumu yote itakelezwe ..hakuna unafuu wowote kwa musiba..ni suala la muda tu .Tena hao ndugu ndio watazidisha kudai maana watakuwa na uchungu na uchu wa kupata hizo pesa..
 
Anaweza kwenda kusema atakuwa anwalipa sh. Elfu 20 kila mwezii
 
Nguvu kali za kiza za kuzimu.
Kumbe ndo maana Musiba lilikuwa na kiburi cha kutoomba msamaha, kumbe lina stoo ya nguvu za giza.

Zamani nikiwa Mwalimu kule Kanda ya Ziwa niliwahi kukutana na mwanafunzi mmoja ana kiburi ni hatari, haogopi mtu wala hamtii yeyote. Mimi alinionyesha kiburi nikataka nimfunze adabu, yet dogo hakutetereka. Walimu wenzangu wakaniambia "Mwalimu, huyo mwanafunzi achana naye;anatoka familia ya kichawi sana na ana nguvu nyingi sana za kuzimu, alishawashungulikia Walimu kadhaa na wanafunzi wenzake pia, achana naye kama unajipenda". Kwakweli ilibidi niachane naye.

Ila ninavyoona hili jambo halitaisha hivi hivi. Kuna moto sasa umewashwa rasmi, Membe naye hakuwa peke yake kivile.
 
Habari kubwa leo ni kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mhe.Bernard Kamilius Membe, ambaye amefariki dunia katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Swali linalogonga vichwa vya watu wengi ni je nini kitatokea kwa ndugu Cyprian Musiba anayejitambulisha kama mwanaharakati huru ambaye Mahakama ilimuamuru kulipa fidia ya takriban Shilingi Bilioni 18.58 kwa ndugu Membe ambaye sasa ni Marehemu.

Wataalamu tupeane elimu hapa
[emoji57][emoji19][emoji849]bilioni 18.8? Hahaaaaaaa
 
Ingekuwa wakati kesi inaendelea angesalimika.
Marehemu anapoteza sifa ya kuendeleza kesi.
Ila kwakuwa hukumu ishatoka msimamizi wa Mirathi ana haki ya kumiliki mali za Marehemu pamoja na zilizo tolewa uamuzi na Mahakama.
Maana hiyo B 1. 9 ni pesa halali ya Marehemu.
 
𝔸𝕥𝕒𝕜𝕒𝕥𝕒 𝕣𝕦𝕗𝕒𝕒 𝕟𝕒.𝕪𝕖𝕪𝕖𝕥𝕖 𝕒𝕥𝕒𝕜𝕒𝕪𝕖 𝕛𝕚𝕥𝕠𝕜𝕖𝕫𝕒 𝕜𝕦𝕗𝕦𝕒𝕥𝕚𝕝𝕚𝕒 𝕜𝕒𝕫𝕚 𝕒𝕟𝕒𝕪𝕠
 
𝔸𝕥𝕒𝕜𝕒𝕥𝕒 𝕣𝕦𝕗𝕒𝕒 𝕟𝕒.𝕪𝕖𝕪𝕖𝕥𝕖 𝕒𝕥𝕒𝕜𝕒𝕪𝕖 𝕛𝕚𝕥𝕠𝕜𝕖𝕫𝕒 𝕜𝕦𝕗𝕦𝕒𝕥𝕚𝕝𝕚𝕒 𝕜𝕒𝕫𝕚 𝕒𝕟𝕒𝕪𝕠
Marehemu hakatiwi rufaa.
Labda kama unaweza kumleta mahakamani.
 
Kesi ndio imeisha hiyo huwa fidia ya udharirishwaji hairithiwi....Zaidi ya kesi ningeshangaa sana kama asingepumzishwa. Maana anajua mambo mengi sana kuhusu namna shujaa alivyopumzishwa. Kama kawaida ya wakubwa wakikutumia ujue watakupoteza usijeleta kidomodomo baadae.
 
Back
Top Bottom