Hili Neno nalo au awaroge wamsameheFamilia ipo deni liko palepale labda aende kwa mganga amalize familia yote
Noma sana!Watu wanaotoka kando ya maziwa na bahari huwa sio wakuwachezea ni wachawi wakubwa
Familia itaendelea marehemu alipoishia...wanasheria wataendelea kusimamia hadi hukumu yote itakelezwe ..hakuna unafuu wowote kwa musiba..ni suala la muda tu .Tena hao ndugu ndio watazidisha kudai maana watakuwa na uchungu na uchu wa kupata hizo pesa..
HahahaaaNani anataka kufa ghafula Tena, lazima waufyate mkia
Kumbe ndo maana Musiba lilikuwa na kiburi cha kutoomba msamaha, kumbe lina stoo ya nguvu za giza.Nguvu kali za kiza za kuzimu.
Mkuu nasubili kwa hamu nakala utakayoiandika kutokana na ubobezi wakoHukumu ilishatoka alipwe kuna warithi wake hawajafa
[emoji57][emoji19][emoji849]bilioni 18.8? HahaaaaaaaHabari kubwa leo ni kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mhe.Bernard Kamilius Membe, ambaye amefariki dunia katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.
Swali linalogonga vichwa vya watu wengi ni je nini kitatokea kwa ndugu Cyprian Musiba anayejitambulisha kama mwanaharakati huru ambaye Mahakama ilimuamuru kulipa fidia ya takriban Shilingi Bilioni 18.58 kwa ndugu Membe ambaye sasa ni Marehemu.
Wataalamu tupeane elimu hapa
Marehemu hakatiwi rufaa.πΈπ₯ππππ₯π π£π¦πππ ππ.πͺππͺππ₯π ππ₯ππππͺπ πππ₯π πππ«π ππ¦ππ¦ππ₯ππππ πππ«π ππππͺπ