OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
πππ aliwapigia mpk simu lkn wakatoka sareNadhani wao yanga walipewa hongera tena direct kutoka kwa mama kupitia simu aliyompigia manara akiwatakia ushindi mnene kwenye mechi yao muhimu ya kimataifa ambayo iliisha kwa sare
Mama Samia Suluhu akawapa morale washinde wao wakatoa suluhu
tuwapongeze walau kwa kupigania uhuru wa Tanganyika! πππYanga hawajawahi kupongezwa na Serikali
Ile ni nouma sana yanIle turn ya kanoute ni hatariiiiii
Ha ha tisheti imeandikwa sipati pesa
Ndio mkuu!Sport pesa kampuni ya watu hiyo.Unapishana nae.Kuna maji yanaitwa Afya na mengine ni Afiya kampuni tofauti.Ha ha tisheti imeandikwa sipati pesa
Hapa ilikuwa ni kushiriki kombe gani? Ya muda sana hii.....Umenikumbusha mbali sana...View attachment 2175203
Alipigiwa Manula na Aziz Ki dah. Ila turn yoyote inakuwaga hatari sanaIle turn ya kanoute ni hatariiiiii