Kufuatia kufuru ya Simba SC, Serikali yatoa tamko

Kufuatia kufuru ya Simba SC, Serikali yatoa tamko

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20220404_09005898384.jpg


Yanga nyinyi hamjivunii?
 
Nadhani wao yanga walipewa hongera tena direct kutoka kwa mama kupitia simu aliyompigia manara akiwatakia ushindi mnene kwenye mechi yao muhimu ya kimataifa ambayo iliisha kwa sare

Mama Samia Suluhu akawapa morale washinde wao wakatoa suluhu
 
Ha ha tisheti imeandikwa sipati pesa
Ndio mkuu!Sport pesa kampuni ya watu hiyo.Unapishana nae.Kuna maji yanaitwa Afya na mengine ni Afiya kampuni tofauti.
 
Back
Top Bottom