Kufuatia kusambaa kwa Corona (covid-19); Nakusudia kumshitaki Waziri wa Afya, Miundombinu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Kufuatia kusambaa kwa Corona (covid-19); Nakusudia kumshitaki Waziri wa Afya, Miundombinu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Wana bodi,nataka kufanya public interest litigation kuchallenge ukaidi wa wizara ya uchukuzi.
Kwanza kabisa Mimi siyo mwanasheria Mimi ni 'mpima ardhi' aka land saveya.

Back kwenye mada, ni hivi kufuatia Kusambaa kwa ugonjwa wa corona (covid 19),hapa nchini kwetu ninakusudia kufungua kesi mahakama kuu ya Tanzania (masjala kuu Dar), lengo hasa ni kumshitaki waziri wa miundombinu kwa kukataa kufunga viwanja vya ndege ,bandari (except bandari ya dar) ili kuzuia wageni ambao kimsingi ndiyo wanaosambaza ugonjwa huu wa corona nchini,kwa maana kwamba kitendo hicho kimechagiza kusambaa kwa ugonjwa huo, kwa upande wa wizara ya afya hii imeshindwa kusimamia kidete suala hilo la kuhakikisha wizara ya miundombinu haikiuki utaratibu we kuzuia watu wasiingie wala kutoka hapa tanzañia,
Mwanasheria mkuu anashtakiwa kwa sababu ndiyo mtetezi wa serikali pale inaposhitakiwa.

Amri ninazotaka kuziomba mahakamani ni hizi

1.mahakama kuu ya Tanzania itamke kwanza kitendo cha waziri/wizara ya miundombinu kukaidi kufunga viwanja vya ndege, bandari(except ya dar),mipaka nk kinahatarisha Afya na usalama wa wananchi wa Tanzania hivyo kitendo hicho ni batili

2.mahakama kuu iiamrishe wizara ya miundombinu kufunga mipaka,viwanja vya ndege, bandari kwa manufaa ya umma 'public interest'

3.mahakama kuu iseme kwamba kwenye majanga kama haya ya corona principle itakayo tumika ni 'the best interest of the citizen of the United Republic of Tanzania' yaani 'our welfare first' no matter what, kwa kiswahili ni kwamba kwa tatizo lolote lile tutaangalia maslahi yetu watanzania, na ustawi wetu na ustawi unajumuisha 'Afya yetu'

Naomba kuwasilisha.

Saveya (S)
Land surveyor.

Naunga mkono hoja
 
acha uzombi wa lumumba na kuizoea tabia ya babayenu MEKO ya kukurupuka.. umeshaambiwa wahusika watatu AFYA , MIUNDOMBINU na SHERIA wanahusika. sasa ulitaka niseme nani? MUMEO au bwanawako? shwainnnn

Zombi ni wewe na yoyote mwenye upeo kama wa kwako.

Haya ni maradhi makubwa kuliko unavyoweza kuyadhania, jitahidi uelewe maana ya neni pandemic ndipo utaacha kuongea hizi kauli za jumlajumla.

Hii sio malaria ni ugonjwa unaowasumbua kina Trump, umeshasikia Trump akitishia kumfukuza kazi mganga mkuu wa USA?. Don’t be stupid.
 
Zombi ni wewe na yoyote mwenye upeo kama wa kwako.

Haya ni maradhi makubwa kuliko unavyoweza kuyadhania, jitahidi uelewe maana ya neni pandemic ndipo utaacha kuongea hizi kauli za jumlajumla.
peleka lumumba hiyo milugaluga yenu kunguru weusi nyie
 
Kwani mamlaka ya anga 'Tanzania civil aviation authority' iko chini ya wizara gani?
Mkuu ugonjwa ndio umeshatapakaa dunia nzima, kusema umshtaki fulani na fulani ni mwendelezo wa upotezaji wa muda.

Umshtaki ili iweje?. Yeye ndio katengeneza kirusi cha corona?. Ulitaka azuie ndege zisiingie na kutoka, unaweza kuwazuia wamarekani au waingereza wasichukue raia zao kutoka hapa kwetu?.
 
Kunguru weupe nyinyi mnaopiga kelele hapo ufipa.
minjaa mliyokuwa nayo hata kufunga mipaka mnaogopa shwain wakubwa mko tayari kupokea virusi hata mia lkn kuokoa uhai wa watanzania mnaona wacha tuambukizwe tufe tu.
 
minjaa mliyokuwa nayo hata kufunga mipaka mnaogopa shwain wakubwa mko tayari kupokea virusi hata mia lkn kuokoa uhai wa watanzania mnaona wacha tuambukizwe tufe tu.
Mipaka haifungwi kama unavyofunga nyimba yako mkuu.

Rwanda siku nyingi wamefunga mipaka, sasa tafuta takwimu za walioambukizwa baada ya mipaka kufungwa uone kama ni za chini kuliko za kwetu.
 
Mkuu ugonjwa ndio umeshatapakaa dunia nzima, kusema umshtaki fulani na fulani ni mwendelezo wa upotezaji wa muda.

Umshtaki ili iweje?. Yeye ndio katengeneza kirusi cha corona?. Ulitaka azuie ndege zisiingie na kutoka, unaweza kuwazuia wamarekani au waingereza wasichukue raia zao kutoka hapa kwetu?.
Virusi vinasafirishwa hivyo kuzuia viwanja vya ndege na bandari (except ya dar)ndiyo the best solution to curb this kind of disaster, kwa USA kama ni kuwaondosha haitakuwa na shida kwa sababu lengo ni kuja na kuondoa RAIA wao na siyo kuleta RAIA wapya kama wahamiaji.
 
Wuhan na Italy kuna uhusiano wa kiuchumi, viwanda vya nguo ni vya ubia.

Kama kushtaki ni hoja waziri wa uchukuzi wa Italy angekuwa wa kwanza kushtakiwa.
 
minjaa mliyokuwa nayo hata kufunga mipaka mnaogopa shwain wakubwa mko tayari kupokea virusi hata mia lkn kuokoa uhai wa watanzania mnaona wacha tuambukizwe tufe tu.
Eeh mkuu wako tayari corona isambae tu?
 
Wuhan na Italy kuna uhusiano wa kiuchumi, viwanda vya nguo ni vya ubia.

Kama kushtaki ni hoja waziri wa uchukuzi wa Italy angekuwa wa kwanza kushtakiwa.
Hatuzungumzii Italy tunazungumzia Tanzania ambapo ndiyo taifa langu habari za Italy achana nazo,
 
Eeh mkuu wako tayari corona isambae tu?
yes wako tayari COLONA itumalize lkn sio kufunga mipaka kuzuia watu wasitoke nnje na kuzuia watu kuingia ndani ya nchi
 
yes wako tayari COLONA itumalize lkn sio kufunga mipaka kuzuia watu wasitoke nnje na kuzuia watu kuingia ndani ya nchi
Mbona kama umeandika kama una hasira mkuu?
Kweli kabisa waache corona ituathiri hivi hivi ?
 
Hatuzungumzii Italy tunazungumzia Tanzania ambapo ndiyo taifa langu habari za Italy achana nazo,
Taifa lako sio kisiwa katika hii dunia jaribu kujiongeza kiakili japo kidogo tu.

Taifa lako katika mataifa ya ulimwengu huu ni dogo sana usijipe umuhimu usiokuwa nao.

Hili ni janga la kidunia, ingawa ni la muda tu.

Usijikweze ukajiona bora sana wakati ni kapuku tu.
 
Sasa mkuu, kama italy hawakufunga bandari,airports na sisi tusifunge?
Swali Je unajua mifumo ya Afya ya Italia ni imara na maradufu kuliko ya Tanzania? Ndiyo maana wao labda pengine wakaona wasifunge bandari,airports!
Sasa sisi Tanzania kwa mifumo hii mibovu ya Afya si tufunge tu ports,airports na mipaka kwa sababu uwezo wa kupambana na majanga yakiafya ni mdogo mno,ukizingatia bajeti kubwa inaelekezwa kwenye stieglers gorge na sgr
 
Back
Top Bottom