DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Nimemsikiliza kwa umakini Rais Samia kuhusu msamaha alioutangaza wa baadhi ya Vijana waliokamatwa wakati wa maandamano kipindi cha Uchaguzi Mwaka huu (2025), ni wazi kuwa inawezekana ni jambo zuri lakini kwa Wanausalama wetu tunavyowajua, hapo ni kama wameambiwa “Kila Mbuzi ale kwa urefu wa Kamba Yake”
Ninavyojua ndugu, jamaa marafiki, wazazi na wasimamizi wa Vijana waliojazana Vituo vya Polisi na wengine katika magereza, sasa wataambiwa “refusha mkono ili ndugu yako atoke”
Wabongo tunajuana, japo napo kunaweza kuibuka mgogoro mwingine wa upigaji.