Kufuatia sakata la Diamond kumkubali mtoto wake, Faiza Ally amchana Mh.Sugu "ex husband wake"

Yote kasababisha mkulu Magu haya life imekuwa ngumu mpk watu hawaeleweki. Usishangae ya mtandaoni tu ukitembea sasa hivi usione ajabu kukutana watu wanaongea wenyewe barabarani. Ukweli maisha magumu sana enzi za gud taim ukuti dem anakusumbua gharama za matunzo.
 
tatizo uyu mama bado anampenda sugu sana anategemea jaa labda atamrudia lakini miaka inaenda bilabila ashukuru hata icho jamaa anacholipa naamini sugu ajashindwa muudumia mwanae avite subira tu mtoto akue
 
Hali ngumu sana, tutasikia mengi sana mwaka huu. Machizi yameongezeka mtaani. Diamond kasababisha matatizo kwa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…