Kufuatia sakata la Diamond kumkubali mtoto wake, Faiza Ally amchana Mh.Sugu "ex husband wake"

Kufuatia sakata la Diamond kumkubali mtoto wake, Faiza Ally amchana Mh.Sugu "ex husband wake"

Tatizo la machangu wa kibongo ni kutojitambua.....hivi hawajuwi kuwa HAKUNA mwanamme anapenda kuzaa na changu? Kuzaa na changu kuna madhara yake kwamba mtoto ana dalili kubwa kuiga tabia ya Mama yake hapo baadaye. Angalieni Hamisa....yeye kapewa offer ya kupigwa pumbu ili jamaa akate kiu....yeye HAMISA kaona ujiko mpaka kahamua kujipiga picha ili awaringishie wenzake kuwa kachafuliwa mavuzi na jamaa. Kijana wa Tandale kasingizia kalala kumbe analia kwanini kamsaliti mkewe baada ya nyege kumtoka.
 
Diamond amesema hakuna mwanamziki anayemzidi hela,hivi dimondi amamzidi kipesa Sugu?
 
sugu ana hela gani kumkaribia diamond.. au ubunge unakudanganya..

diamond anachaji hadi m 100 kwa show moja tu...
mafao ya mbunge diamond anayapata kwa less than 10 shows..

hizo dili za matangazoya karanga, vodacom, gsm, nmb zote hizo ni zaidi ya ubunge miaka kibao

Diamond amesema hakuna mwanamziki anayemzidi hela,hivi dimondi amamzidi kipesa Sugu?
 
Mi siwezi kuamini kwamba Sugu kashindwa kumpa huduma mwanae, sema huyu bibi ana matatatizo, we angalia hata hayo maneno. Hana busara hata kidogo, inasikitisha kwa kweli.
Busara inakuhusu nini, Sugu kamchagua mwenyewe huyo. Na hiyo ndiyo gharama ya kuokota okota. Acha waabishane tujifunze
 
Daimond atahombanisha familia kwa hayo matumiz aisee
Msione ufahari kuwabebesha mimba mabint na kuwatelekeza. Mjue kuna leo na kesho. Mh Sungu angekuwa msanii tu hii isingekuwa habari, kinachotatiza ni ule ubunge alionao. Istoshe kama hakuwa na muendelezo na huyo mwanamke hakukua na uharaka wa kuanza kuzalishana ili kuepuka usumbufu wa aina hii
 
Mi sibebeshi mimba mzee
 
hivi hakuan sehemu nyingine ya kuzungumzia mambo haya ya mahusiano zaidi ya socia media? kila star anaweka mambo ya mapenzi yake kwenye social media ili iweje? mbona mnapofanaya ngono a
hamtupii video tukaona basi kama mmeamua kutushirikisha mapenzi yenu
 
Tatizo kalikuwa kazuri lazima utamani kukajua sema sawa kameleta Tunda lakini kamemfanya kama Muheshimiwa Sugu ndio aliyembikiri kwa kumbaka na kumpa mimba maana si kwa lia lia hiyo
Kwani sahizi mbaya???
 
Back
Top Bottom