Kufuatia sakata la wanafunzi kulawitiwa; Mamlaka zifuatilie Shule ya Msingi Nkuhungu jijini Dodoma

Kufuatia sakata la wanafunzi kulawitiwa; Mamlaka zifuatilie Shule ya Msingi Nkuhungu jijini Dodoma

albab

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
1,198
Reaction score
2,562
Mamlaka husika chunguzeni shule ya msingi NKUHUNGU iliyoko Dodoma Jiji NKUHUNGU.

Huu uchafu unafanyika hapo na uongozi wa shule unajua na kuamua kukaa kimya kuepuka mlolongo wa ufuatiliaji/kesi.

Baadhi ya watoto wazazi wao wanakiri watoto kuharibiwa ila uchafu huo unafukiwa na baadhi ya wahusika wanafahamika (walimu shuleni hapo wanaelewa mchezo wote)
 
Roho ya uzinzi imeachiliwa, pepo la ushoga limesambazwa mashuleni na mavyuoni kupitia miziki, filamu nk
 
Bongo mwendo kufumuana marinda tu....sahvi
Maadili imeporomoka kwenye jamii,na hii miziki,sanaa zenu sahv ndiyo inachochea,mpk kufika 2030 marinda mengi yatakuwa yamefumuliwa!

Ova
Mambo yaanzaga kidogokidogo, huwa sielewi kitendo cha kumtumia Joti kwenye matangazo akiwa mwanamke, ina maana hakuna wanawake wanaoweza kuigiza? Hivi haiwezekani mtoto wa kiume akapenda kuigiza kike kama Joti na mengine yakafuata?
 
Case study -Dullivan
 
Daa! Sasa huko boarding schools kukoje?
Si wanaoana kabisa huko?
Wazazi, chukueni jambo hili kwa uzito sana!
Dunia ilipofikia hivi sasa ni zaidi ya Sodoma na Gomora!
 
Huko shuleni watoto wanafanyiana sana, last week nimepokea kesi ya wanafunzi wa madarasa ya juu kumfanyia unyama mwanafunzi wa chekechea.....inauma.
Wazazi tuwe makini sana.
 
Tupe taarifa vizuri ndugu ili tuweze nusuru taifa, wahusika ni watu gani? Watuhumiwa wakamatwe kituo cha polisi kipo hapo jirani tu. Tabia hizi ni za kukemewa
 
Mambo yaanzaga kidogokidogo, huwa sielewi kitendo cha kumtumia Joti kwenye matangazo akiwa mwanamke, ina maana hakuna wanawake wanaoweza kuigiza? Hivi haiwezekani mtoto wa kiume akapenda kuigiza kike kama Joti na mengine yakafuata?
We unamuona joti tu kuna huyo wakuitwa dullvann kama sjakosea jina na kina mwingine wakuitwa pungasese aloo mbona hadi wanatia kinyaa maana bora joti ana chekesha na sanaa yake toka kitambo ila hawa chipukizi yaan ndo wamefanya kama characta yao kumkuta ana igiza characta tofaut ni ngumu alaf make up kama zote yan usipo mjua mbona unasema dem huyu hapa
 
Daa! Sasa huko boarding schools kukoje?
Si wanaoana kabisa huko?
Wazazi, chukueni jambo hili kwa uzito sana!
Dunia ilipofikia hivi sasa ni zaidi ya Sodoma na Gomora!
Bordin school mambo yameanza kitambo nakumbuka nikiwa namaliza form four 2008 kulikua na kesi shuleni kwetu ya watoto wa form 2 walikua wanafumuana marinda wazazi wakaitwa habar za chini chini zikawa zinasema mfumuaji alikua anawapa wenzake hela anaekubali analiwa just imagine mtu wa form two anajua hiyo michezo inamaana hajaanza hapo ni toka kitambo
 
hii mnasemaje???
20220519_205724.jpg
 
Mambo yaanzaga kidogokidogo, huwa sielewi kitendo cha kumtumia Joti kwenye matangazo akiwa mwanamke, ina maana hakuna wanawake wanaoweza kuigiza? Hivi haiwezekani mtoto wa kiume akapenda kuigiza kike kama Joti na mengine yakafuata?
Mzee unataka kuingilia sanaa tena?
Jikite kwenye mada
 
Back
Top Bottom