Typing error nadhanNi Nkuhungu au Nkuhingu.?
Mambo yaanzaga kidogokidogo, huwa sielewi kitendo cha kumtumia Joti kwenye matangazo akiwa mwanamke, ina maana hakuna wanawake wanaoweza kuigiza? Hivi haiwezekani mtoto wa kiume akapenda kuigiza kike kama Joti na mengine yakafuata?Bongo mwendo kufumuana marinda tu....sahvi
Maadili imeporomoka kwenye jamii,na hii miziki,sanaa zenu sahv ndiyo inachochea,mpk kufika 2030 marinda mengi yatakuwa yamefumuliwa!
Ova
Case study -DullivanMambo yaanzaga kidogokidogo, huwa sielewi kitendo cha kumtumia Joti kwenye matangazo akiwa mwanamke, ina maana hakuna wanawake wanaoweza kuigiza? Hivi haiwezekani mtoto wa kiume akapenda kuigiza kike kama Joti na mengine yakafuata?
Na huo ni utungu tu na bado wale wapanda farasi wanne(four horsemen) hawajapanda farasi wao.Roho ya uzinzi imeachiliwa, pepo la ushoga limesambazwa mashuleni na mavyuoni kupitia miziki, filamu nk
Itakuwa na wanaume au wanawake watu wazima watumishi katika shule hiyo.Wanafanyiwa uchafu na akina nani?
We unamuona joti tu kuna huyo wakuitwa dullvann kama sjakosea jina na kina mwingine wakuitwa pungasese aloo mbona hadi wanatia kinyaa maana bora joti ana chekesha na sanaa yake toka kitambo ila hawa chipukizi yaan ndo wamefanya kama characta yao kumkuta ana igiza characta tofaut ni ngumu alaf make up kama zote yan usipo mjua mbona unasema dem huyu hapaMambo yaanzaga kidogokidogo, huwa sielewi kitendo cha kumtumia Joti kwenye matangazo akiwa mwanamke, ina maana hakuna wanawake wanaoweza kuigiza? Hivi haiwezekani mtoto wa kiume akapenda kuigiza kike kama Joti na mengine yakafuata?
Bordin school mambo yameanza kitambo nakumbuka nikiwa namaliza form four 2008 kulikua na kesi shuleni kwetu ya watoto wa form 2 walikua wanafumuana marinda wazazi wakaitwa habar za chini chini zikawa zinasema mfumuaji alikua anawapa wenzake hela anaekubali analiwa just imagine mtu wa form two anajua hiyo michezo inamaana hajaanza hapo ni toka kitamboDaa! Sasa huko boarding schools kukoje?
Si wanaoana kabisa huko?
Wazazi, chukueni jambo hili kwa uzito sana!
Dunia ilipofikia hivi sasa ni zaidi ya Sodoma na Gomora!
Photoshophii mnasemaje???View attachment 2230847
Mzee unataka kuingilia sanaa tena?Mambo yaanzaga kidogokidogo, huwa sielewi kitendo cha kumtumia Joti kwenye matangazo akiwa mwanamke, ina maana hakuna wanawake wanaoweza kuigiza? Hivi haiwezekani mtoto wa kiume akapenda kuigiza kike kama Joti na mengine yakafuata?
Ujinga tu wanaume wanaoana mwanamke ba mtoto wanashuhudia laana kubwa na huu ujinga unaingia katika jamii kimya kimya na unavumiliwa Mungu anusuru kizazi chetuhii mnasemaje???View attachment 2230847