Kufuatia tetesi za Manji kukodishwa timu, tunaomba majibu ya maswali haya

samsun

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
7,386
Reaction score
5,965
Kuna habari inayoendelea ya kuhusu Manji KUKODISHWA TIMU YA YANGA, nina maswali yafuatayo mwenye majibu yake anijibu na nielewe.

1.Manji anaikodi Yanga kutoka kwa nani ??

2.Je kulishatengenezwa mkataba wa kukodishana ??

3.Je, ktk kipindi chake cha kukodi uwekezaji gani umekulibaliwa kufanywa kwa mujibu wa huo mkataba wao ??

4. Ni nani msimamizi wa huo mkataba ??

5. Je kwenye huo mkataba kuna kipengere cha kuchukua timu kama hakuna maendeleo yanayopatikana hata kabla ya mkataba kuisha ??

6. Nasikia mapato ya 75% yatakuwa yake na 25% ni ya wanachama je, yeye anapata hayo mapato kwa kipi alichowekeza/atakachowekeza ???

7 Na hayo mapato ya wanachama ya 25% wanachukua wanachama kwa utalatibu upi ...... na kwa uwekezaji gani walioufanya ........ na zinagawanywa vipi ???

8.Nani msimamizi wa haya kudhibitisha hii ni 75% anastahili Manji na hii ni 25% ni ya wanachama ???

9.Hawa wasimamizi wanalipwa na nani ???

10.Kama jengo halimuhusu je yeye ofisi anazifanyia wapi ???

11. Sisi binadamu (siombei mabaya) tunaweza kufa muda wowote je, kwenye huo ukodishwaji wake unarithiwa ??

12. Mtaji wake ni sh'ngapi ??

endelee na wengine kujazia maswali wadau
 
Acheni bla bla zenu hamjawahi kuichangia Yanga hata shilingi kumi..Maendeleo ya sasa hivi ya Yanga kutaifa na kimataifa yametokana na ufadhili wa Manji...Manji ameisaidia sana Yanga hata akiikodisha kwa miaka 100 ni sawa tu
Jibu hoja zangu, hayo mambo ya Manji kuisaidia Yanga yanajulikana, na hata hapa tunajadili jambo la kuinusuru Yanga.
 
Vitu vinavyoongoza kwa Kukodishwa Mjini
[emoji92] Shela la Harusi
[emoji92] Gari la Kusafirishia Maiti
[emoji92] Boda Boda na Bajaji
[emoji92] Trekta la Kulimia
[emoji92] Turubai la Msibani
[emoji92] Ukumbi wa Mikutano
[emoji92] Yanga SC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 


Mkuu umetisha sana....vyura fc.....wanatapata .....ngoja waendelee kukodishwa....
 
Sijawahi sikia klabu ya mpira inakodishwa ...ni sawa nakukodisha shule
 
Hivi hakuna wanachama wa Yanga humu walioshiriki huo mkutano watufafanulie hili jambo huenda kuna kitu hatukijui ili wao watuweke sawa.
 
Aliulizwa kwa nini asitumie hiyo 25% kujenga uwanja? Alichojibu ni kichekesho!
 
Umesahau sufuria za shughuli....hehee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…