Hebu sema simba ilinunuliwa lini, saa ngapi na nani! Usisahau kuambatanisha risiti ya malipo...Club kununuliwa kama masalo tu
Yule ndio muindi wa ILALA. Ujanja Ujanja mwingi, anachukua 75% yote. Apo ndio mambo ya ajabu utakuja kusikia baada ya miaka 5Aliulizwa kwa nini asitumie hiyo 25% kujenga uwanja? Alichojibu ni kichekesho!
Umesahau wapenzi wa hyo timu ni wapenzi wa kile chama cha ndioooo wanafikilia matumbo badala ya kichwaKwanza hatupingi yy kukodishwa ila njia za kukodishwa hazijawa sawa, ilipaswa ajihudhuru kwanza halafu aje na mapendekezo kutoka kamati ya utendaji, kuhusu namna bora anayoona inafaa kuiendesha club,
Sasa hebu tazama kizingumkuti mkuu, mwenyekiti ni manji, mfadhiri manji, anaeomba kukodishiwa timu manji,
Sasa umeona mkuu, sasa heb rudi nyuma, nan anawazo hlo?ni manji, nan anamtaji manji, nan kauitisha mkutano manji, c ajabu hata wanachama wamelipwa posho na manji,
Mkuu yanga haiko dar, hvi nan anamiliki majengo ya yanga na aset zate? Kama ni wanachama, kwa mjib wa katba ya yanga nan anakuwa msemaji na mwenye mamlaka? Unaweza kukuta ni mwenyekiti..
Kinachotokea ni kuwa viongozi wote wa yanga wamekuwa kama nyumbu, hawana tena usemi, wapo kama hawapo....
Na wasipoangalia tim inakwenda kushuka daraja na hapo ndipo yanga watakapostuka, yanga wamekuwa kama wameolewa hawana usemi, hawahoji, hata swali dogo tu kuwa hyo aslimia 25, ni mtaji kiasi gani hawahoji, afadhari mo kasema kiwango kuwa ni b20 kwa 51%, je manji[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nafikiri taarifa za uwepo wa mashoga na wasagaji unazo.... Kazifanyie kazisijawai kuskia popote pale duniani klabu kukodishwa zaidi ya Tanzania pekee..
safari bado ni ndefu kwa soka letu hili!!
Kwa manna hiyo hiyo, Yanga imekodishwa lini? Ambatanisha huo mkataba!Hebu sema simba ilinunuliwa lini, saa ngapi na nani! Usisahau kuambatanisha risiti ya malipo...
Ndala bhana, mmegeuka godown fasta!
So Yanga imekodishwa au haijakodishwa?Kwa manna hiyo hiyo, Yanga imekodishwa lini? Ambatanisha huo mkataba!
Kuna habari inayoendelea ya kuhusu Manji KUKODISHWA TIMU YA YANGA, nina maswali yafuatayo mwenye majibu yake anijibu na nielewe.
1.Manji anaikodi Yanga kutoka kwa nani ??
2.Je kulishatengenezwa mkataba wa kukodishana ??
3.Je, ktk kipindi chake cha kukodi uwekezaji gani umekulibaliwa kufanywa kwa mujibu wa huo mkataba wao ??
4. Ni nani msimamizi wa huo mkataba ??
5. Je kwenye huo mkataba kuna kipengere cha kuchukua timu kama hakuna maendeleo yanayopatikana hata kabla ya mkataba kuisha ??
6. Nasikia mapato ya 75% yatakuwa yake na 25% ni ya wanachama je, yeye anapata hayo mapato kwa kipi alichowekeza/atakachowekeza ???
7 Na hayo mapato ya wanachama ya 25% wanachukua wanachama kwa utalatibu upi ...... na kwa uwekezaji gani walioufanya ........ na zinagawanywa vipi ???
8.Nani msimamizi wa haya kudhibitisha hii ni 75% anastahili Manji na hii ni 25% ni ya wanachama ???
9.Hawa wasimamizi wanalipwa na nani ???
10.Kama jengo halimuhusu je yeye ofisi anazifanyia wapi ???
11. Sisi binadamu (siombei mabaya) tunaweza kufa muda wowote je, kwenye huo ukodishwaji wake unarithiwa ??
12. Mtaji wake ni sh'ngapi ??
endelee na wengine kujazia maswali wadau
13. Kwa nini anawavua uanachama wale wanaohoji mambo ya uongozi wake?...endelee na wengine kujazia maswali wadau
Kuna vitu inawabidi waviweke sawa,wasikurupuke hili jambo sio la kuenda nalo kienyeji hivo.hii kitu ina ukakasi mwingi, nadhani wasikurupuke, inatakiwa tadhmini ya kina katika hili, kwanza kama timu inatakiwa ikodishe uendeshaji kwanini apendelewe manji pekee. hata mm ni mwanachama na ningependa kuiendesha Yanga kwanini haikutangazwa ili iwe competitive? hapa kuna utapeli au kutaka kufanya mambo kienyeji, na hii italeta sintofahamu mbele ya safari. Rai kwa Manji na uongozi wa Yanga wasiharakishe hii kitu. Nadhani ule utaratibu ulijaribiwa na Tarimba Abbass wa wanachama kununua Hisa ndio haswa unapaswa kufuatwa kwanza, ili Manji baadae kama ana nguvu ya kiuchumi anunue hisa kutoka kwa wanacha momojammoja kwa utashi wao wamuuzie Manji hisa asitake kufanya ujanja wa kibiashara hapo.
Imekodishwa kwa namna ile ile Simba ilivyonunuliwa na Mo. Kotekote bado havijakamilika! !So Yanga imekodishwa au haijakodishwa?
Mbona unang'ania sana Simba imenunuliwa!Imekodishwa kwa namna ile ile Simba ilivyonunuliwa na Mo. Kotekote bado havijakamilika! !
Mkutano was Simba haukubariki Mo anunue hisa 51% kuimiliki club?Mbona unang'ania sana Simba imenunuliwa!
Tafadhali imethibitishwa lini kuwa Mo kashainunua Simba?
Maana Yanga wote tunajua mkutano mkuu uliofanyika hivi majuzi ulibariki Manji kuikodisha Yanga kwa miaka 10 na hilo halina ubishi kwa sasa kuwa Yanga ipo mikononi mwa Manji kwa kukodishwa!
Mbona unabadilisha maelezo yako!Mkutano was Simba haukubariki Mo anunue hisa 51% kuimiliki club?
As wewe unasoma toka kwenye script ipi?
Simba mjadala unaendelea, wapo wanaopinga, wapo wanaorekebisha baadhi ya vipengele na wapo wanaounga mkono. Wote wanasikilizwa UZITO wa hoja zao. Aliyeonyesha nia ya kununua hisa aliamua kutohudhuria kikao ili watu waamue kwa uhuru bila kuwa biased na uwepo wakeImekodishwa kwa namna ile ile Simba ilivyonunuliwa na Mo. Kotekote bado havijakamilika! !
Toka mwanzo unasoma kwa mwendokasi. Hilo ni tatizo mheshimiwa. So far Simba haijanunuliwa wala Yanga haijakodishwa. So far nimesema. Mikutano ya wanachama sehemu zote mbili imeridhia hayo yafanyike. Bado haijawa! !Mbona unabadilisha maelezo yako!
Hukusema kuwa simba imenunuliwa? Kuna tofauti kati ya atanunua na kanunua..
Sasa thibitisha tamko lako la awali!
Baraza la wadhamini ndiyo watakodisha timu baada ya kupata ridhaa ya wanachama.Simba mjadala unaendelea, wapo wanaopinga, wapo wanaorekebisha baadhi ya vipengele na wapo wanaounga mkono. Wote wanasikilizwa UZITO wa hoja zao. Aliyeonyesha nia ya kununua hisa aliamua kutohudhuria kikao ili watu waamue kwa uhuru bila kuwa biased na uwepo wake
Yanga kuna tatizo fulani nadhani. Walioonyesha hali ya kukosoa jambo hilo, uongozi wa klabu uliweka mezani hoja ya kuwavua uanachama, na kweli wakavuliwa. Anayeongoza kikao na kuweka hoja ya kuwavua uanachama wanaopinga hilo, ndio huyo huyo mkodishwaji. Kulikuwepo mgongano wa maslahi hapo
Sawa kabisa. Sasa niondolee shaka hii; wale wanachama watakaokataa kuridhia jambo hilo, watalindwa au watapigiwa kura ya kuvuliwa uanachama?Baraza la wadhamini ndiyo watakodisha timu baada ya kupata ridhaa ya wanachama.
Details zitanyika huko