Kufuatia Upotoshaji Unaofanywa: Naomba kutoa Elimu kuhusu Mihimili mitatu ya Dola

Your browser is not able to display this video.
 
Mimi naona amekujibu vizuri ila wewwe kwa vile ulijifanya muelimishaji kumbe una mahaba bas unajifanya kutomuelewa.
 
Ndugu Amani Msumari (MSUMAI), twende mbele turusi nyuma. Kwa uonavyouona utawala wa awamu hii, kuna utengano wowote wa hiii mihimili. Nauliza kwa sababu anayeshikilia mhimili wa DOLA (EXECUTIVE) alisema mhimili wake ndio wenye mizizi mirefu zaidi, kwa sababu ndio uliopewa jukumu la kukusanya kodi kwa ajili ya kulipa hiyo mihimili mgingine. Hii si ni dharau?
 


Katie elimu kwa mamsvyako

Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika. Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.

A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time. Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him.

He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people.

This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque. When was the last time magufuli was in the campaign trail..
 
SERIKALI NI MIHIMILI MITATU SI URAIS TU
Maria Sarungi Tsehai

Mar 5, 2018 ·



Tuwaandikie barua ya wazi Spika wa Bunge na Jaji Mkuu pia

Siku za hivi karibuni kumekuwa na barua na makala zinazomlenga Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, kuhusu hali iliopo hivi sasa nchini. Inaeleweka kuwa katika mijadala yetu na kwa utamaduni wa kisiasa, tunaona kuwa Rais ndiye mweza yote na kama Baba wa Taifa wakati wa uongozi wake. Lakini kama tuko katika demokrasia basi ni vyema tukaanza kuhimiza mihimili mingine pia kutekeleza majukumu yao na kusimamia upatikanaji wa haki, kudumisha amani nchini na mengineyo.

Huwa tunasahau jambo hili muhimu na kadri tunavyozidi kuweka kila kitu kama jukumu la Rais, ndivyo tunavyozidi kudhoofisha Mihimili hii mingine miwili kwani ni wazi tunaonekana kukosa imani nao na kutowapa moyo wa kutimiza kikamilifu wajibu wao.

Sababu ya kuwa na mihimili mitatu ya serikali ni kuhakikisha kuwa mihimili hii inasimamia na kuhakikisha mipaka ya kila mhimili unaheshimiwa. Hivyo kila mhimili hujitegemea kwa mfano Bunge linaweza kumwondoa madarakani Rais, na Rais anaweza kuvunja Bunge kwa masharti maalum kikatiba na kadhalika. Wangapi tunafahamu kuwa kwa mujibu wa Katiba ibara ya 46A Bunge likimhusisha Jaji Mkuu katika Tume ya Uchunguzi inaweza kumwondoa Rais? Au kwamba kwa mujibu wa Ibara ya 90 ya Katiba, Rais ana uwezo wa kuivunja Bunge? Tunajadili kwa mazoea bila kuhusisha maandiko muhimu ya kisheria kama vile Katiba.

Tukielewa vyema mipaka hii na nguvu ya kila mhimili, tunaweza kuanza kuandika barua kwa Spika kuhusu sheria kandamizi, kumwandikia Jaji Mkuu kuhusu upatikanaji wa haki na kadhalika. Barua hizi wazi na makala zinasaidia pia kuwamulika na kuwaamsha viongozi wa Mihimili hii mingine kwamba mambo yanapokwenda mrama au yakionekana kwenda mrama machoni mwa wananchi basi hata wao wanahusika katika hali hii kwani hawatimizi wajibu wao na hivyo badala ya kumwachia kila kitu Rais, muda umefika na wao waamke na watimize majukumu yao.

Kwa mantiki hii, nasubiri wiki zijazo nione barua ya wazi kwa Spika, Jaji Mkuu au Dear Job na Dear Ibrahim si Dear John, tu.

Maria Sarungi Tsehai
 
Ni kweli alionesha majukumu ya executive ila hakusema kuwa mhimili huo ndio mkubwa kuliko mingine
 
Tuhuma zako n nzito sana ila one thing for sure, Tundu asikaidi wito na infact hana uwezo wa kukaidi.
 
Kumbe ni mtu wa tangaaa!
Utopolo tupu uliouleta hapa, unajifanya kujuamajukumu ya mihimili ya nchi kumbe mavi tupu
 
Kumbe ni mtu wa tangaaa!
Utopolo tupu uliouleta hapa, unajifanya kujuamajukumu ya mihimili ya nchi kumbe mavi tupu
Sasa kama mimi nimeandika mavi matupu, hayo maji ya kunawia mbona hujaleta? Hebu nioneshe walau point moja uliyoandika
 
Reactions: UCD
Wanyama wa Serengeti ni shida!
 
Kutokufahamu mambo na uvivu wa kutotaka kujifunza ndio unawagharimu vijana wa Upinzani mpaka kurikia kuamini kila viongozi wenu wanachosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…