Kufuatia video inayohusu tukio la utekaji Mohammed Kawaida asema ni movie kama movie zingine zenye lengo la kupata huruma kwa wananchi

Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi.


Hii ni movie nyingine!

Watu wa kisiwa kile sijajua wanasoma elimu ya aina Gani? Kuja kuiongoza bara,wao ni kama kuokota almas!
 
Wamuulize Kawaida kama hii nayo ni movie.
 
Huyo Mpuuzi, mjinga alojaza tope kichwan na kupewa nafasi CCM , kwanini asiuawe?. Au asitiwe ulemavu ?.

Sina hakika kwamba ni wao pekee wenye means za kutekeleza Mauaji na majaribio ya uuaji.

Huyo MTU inabidi nayeye pia aanze kupitishwa kwenye Kikombe .
 
Hili tukio naliona ni kama hujuma ya kwa huyu Mama kuelekea 2025 na bahati mbaya yeye mwenyewe haeleewi anafikiri wako loyal kwake.

Two possible scenarios:
1. Allietaka kutekwa na watekaji wote walikuwa waigizaji lengo ni kuonyesha ubaya wa uongozi wa Bi. Mkubwa.

Tujiuliulize: Angenyooshewa bunduki na kutakiwa aingie ndani ya gari angekuwa na uthubutu wa ku-resist ?

Kwanini hawakumnyohea bunduki ili wamkamate kirahisi?

Maswali ni mengi.

2 Waliotaka kumteka walitumwa ila wamevurunda kwa makusudi kuhujumu

Wahusika wamefanya makusudi kwa kutaka kumkamata kizembe na kuruhusu video ichukuliwe ili isambazwe na wakaona waache kabisa ns ushahidi wa pingu.

Jiulizeni pia walikimbia na gari yao kwa uoga au kuzuga tu?

Kama ni uoga, uoga ulitoka wapi ili hali wananchi walikuwa ni watazamaji tu na wala hawakuwa wengi?


Ushauri: Jamii kwanza ifanye uchaguzi kuhusu huyu bwana anaedaiwa kutekwa kama ni mtu wa kitengo au ni mtu wa aina gani kwa maana ya mahusiano yake na dola.

Nimemaliiza.
 
Kama anapambanishwa na jiamii anayoiongoza mbona hasemi chochote kuhusu mijadala inayohusu utekaji .
 
Hili linaweza kuwa igizo lakini kutoka dola kama tulivyoona igizo la yule mkenya aliyedaiwa kumtemka na kumuumiza Dr. Ulimboka.
 
Kwa comredi Kawaida hii nayo ni Kawaida tu
 
Hakika hayo ni maigizo kama maigizo mengine hizo ni drama kama drama nyingine
Nchi tulivu hakuna utekaji wala mauaji
Amani imetawala CCM hoyeee
 
mwambie hata kuuwawa kwa risasi kwa katibu wake huki Kilolo ni Movie kama movie nyingine
 
SIku atekwe anayemuhusu halafu arudi hapa kuandika ujinga huu
 
Kawaida ana dharau kwa sababu ya chama Cha CCM . Ila ukimtoa CCM hawezi kuongea hivyo.
 

Maswali ya kijinga kabisa. Mtu analia naenda kuuawa wewe unadai ni maigizo. Acheni roho mbaya na unafiki. Ipo siku utatekwa wewe na hakuna wa kukusaidia ndipo utajua ni maigizo au uhalisia.
 
Ni kweli ya hata, mauwaji ya katibu wa somebody Kibiki ni muvie kama muvie zingine tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…