FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
- Thread starter
- #21
Kwa maelezo yako hiyo kampuni sio limited,sidhani kama utapaswa kulipa returns kwa miaka yote.kuifanya limited kwa jina lile lile ni rahisi sana,kuhusu tra,andika barua kwa meneja wa mkoa husika toa maelezo kwa nini ilisimama,hawana ugomvi watakukadiria upya kuanzia sasa,pia utengeneze TIN kwa jina la kampuni
TIN tulikuwa nayo mkuu kabombe nadhani nitaanza na jamaa wa TRA ila wasipoeleweka nadhani ushauri wa Baba JJ na wachangiaji wengine utafuatwa
Last edited by a moderator: