Kwa maelezo yako hiyo kampuni sio limited,sidhani kama utapaswa kulipa returns kwa miaka yote.kuifanya limited kwa jina lile lile ni rahisi sana,kuhusu tra,andika barua kwa meneja wa mkoa husika toa maelezo kwa nini ilisimama,hawana ugomvi watakukadiria upya kuanzia sasa,pia utengeneze TIN kwa jina la kampuni